Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa ,Binafsi masturbation naiona kama ni kujikosea heshima mkuu.
Michache sana,watu wanakaa miaka mi5 kavu.Yaah!! Nimewahi kukaa miezi7 bila sex.
Mara nyingi tu na ndo maisha yangu kwa kiasi kikubwa(ngono siyo starehe kwangu). Kuna kipindi nilikuwa namsaidia ndugu yangu kazi ya kuuza duka la nguo, nikaepuka kupiz. Nikiwa pale dukan mauzo yaliongezeka mara 2, then mara tatu ya kawaida kila mtu alishangaa ila Mimi nilijua siri yake. Uki practice semen retantion na ukaepukana na matumizi ya vilevi unakuwa na mvuto & ushawishi. Kingine nguvu za kiroho zinaongezeka, wachawi/wanga watakushindwa. Utaota unakimbizwa lkn hutokamatwa, unalishwa ndotoni lkn hutokula, ke uchi anakutega lkn hutotombana naye. Tank la maanii likiwa full wallet itakuwa full, pesa itakuja na kutulia. Manii yana madin ya Calcium ambayo ni energy muhimu kwenye utafutaji. Faida za semen retantion ni nying mno, tutaambizana kidokidogo.Haya unayoyasema umeshawahi ku ya approve
Mtu asipofanya mapenzi kwa muda mrefu atapata madhara yapi?Kila kitu kwa kiasi wakuu kutokufanya mapenzi kwa muda mrefu nako kuna madhara kiafyaa pia vile vile kufanya sana mapenzi mfululizo nako kuna madhara ivyo kila kitu kwa kiasi wadau, za kuambiwa changanya na zako
hapo siwezi kukupangia mkuu ni uwezo wa akili mkuuKwahiyo tulio wowa tufanye marangapi kwa mwaka?Au tukitaka mtoto tu kama enzi za Mit
Mara nyingi tu na ndo maisha yangu kwa kiasi kikubwa(ngono siyo starehe kwangu). Kuna kipindi nilikuwa namsaidia ndugu yangu kazi ya kuuza duka la nguo, nikaepuka kupiz. Nikiwa pale dukan mauzo yaliongezeka mara 2, then mara tatu ya kawaida kila mtu alishangaa ila Mimi nilijua siri yake. Uki practice semen retantion na ukaepukana na matumizi ya vilevi unakuwa na mvuto & ushawishi. Kingine nguvu za kiroho zinaongezeka, wachawi/wanga watakushindwa. Utaota unakimbizwa lkn hutokamatwa, unalishwa ndotoni lkn hutokula, ke uchi anakutega lkn hutotombana naye. Tank la maanii likiwa full wallet itakuwa full, pesa itakuja na kutulia. Manii yana madin ya Calcium ambayo ni energy muhimu kwenye utafutaji. Faida za semen retantion ni nying mno, tutaambizana kidokidogo.
Kiasi ni kipi? mfano....Kila kitu kwa kiasi wakuu kutokufanya mapenzi kwa muda mrefu nako kuna madhara kiafyaa pia vile vile kufanya sana mapenzi mfululizo nako kuna madhara ivyo kila kitu kwa kiasi wadau, za kuambiwa changanya na zako
utafiti ukiufanya ndio utajuaHaya unayoyasema umeshawahi ku ya approve
Kumbe...sa hizo dk 29 na sekunde 54 huwa nini kinaendelea jamaniMwanaume hata ufanye dk 30 tunafurahia tendo 6sec tu. Pale unapomwaga tu.
Ha!Ha!Ha! Oyaa sio poa!!Michache sana,watu wanakaa miaka mi5 kavu.
NB:
Nimesema watu
Proton mzima ww mkuuSafi sana mkuu waambie Poor Brain
Ushawahi kujiuliza kwa nini ng'ombe dume akitaka kufanyishwa kazi ngumu(maksai) hua anahasiwa?hii nadharia inafanya kazi kinyume. Ukweli ni kwamba usipo sex ndio unapoteza nguvu zako
Ni ushenzi tu na kuwatesa viumbe wa MunguUshawahi kujiuliza kwa nini ng'ombe dume akitaka kufanyishwa kazi ngumu(maksai) hua anahasiwa?