Namna ya kubadili nguvu za kujamiiana kuwa katika uzalishaji (sexual energy transmutation according to Napolion Hills)

Sperms ni damu .

Sasa ukiwa inataoa damu Mara Kwa Mara matokeo yake lazima yatakuwa sio mazuri .

Unakula lishe nzuri ya uhakika
Unapata muda wa kupumzika
Una pesa , if yes sex utaiweza vizuri

Sperm ni damu ndo maana mwanaume anayefanya ngono na wanawake anachoka na kupoteza Nuru na mwanamke anayeingiliwa Mara Kwa Mara anakosa nuru kwakuwa damu nyingi zibakuwa zimemuingilia sana .
 
Sperm ni damu ndo maana mwanaume anayefanya ngono na wanawake anachoka na kupoteza Nuru na mwanamke anayeingiliwa Mara Kwa Mara anakosa nuru kwakuwa damu nyingi zibakuwa zimemuingilia sana .
Hii iko wazi, jaribu kuzipiga mfulilizo hata wiki utaona unakuwa weak, unalalalala usingizi hiyo ni kimwili sasa kiroho ndo balaa kabisa.

Ngono ni tamu lakini madhara yake ni makubwa in return.
 
Bonge la uzi aisee
 
Nina uwezo wa kukaa wiki mbili mfululizo
 
Madhara ya kuhamisha stori kama zilivyo. Stori za mabachela hizo
 
Unatuchanganyia mafaili mkuu!! Ila kweli Kii kakonda kinyama πŸ˜†πŸ‘ŠπŸΎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…