Namna ya kufanya ili nirejeshewe pesa ninazomdai mtu Shilingi milioni 105

Namna ya kufanya ili nirejeshewe pesa ninazomdai mtu Shilingi milioni 105

Broo watanzania walio wengi sio waaminifu katika suala la pesa

All in all pambana nae mtakapo ishia ndio hapo hapo

Yan hata akulipe kidogo kidogo sio mbaya kuliko jamaa kujitoa mshipa wa aibu kabisa kuwa alisha lipa

Sio fair kabisa

Note

Karma is real .huyo jamaa mpe muda na yeye atakuja kutapeliwa kiasi zaidi ya hicho.
Hyo karma itamlipa jamaa hyo 105m aliyotapeliwa????

Sijawahi kuielewa hii karma yaan badala ya kumuwezesha jamaa kupata pesa yake aliyotapeliwa,, badala yake eti alietapeli nae anaenda kutapeliwa so what???

Kama kweli kuna karma basi karma its rubbish
 
Hyo karma itamlipa jamaa hyo 105m aliyotapeliwa????

Sijawahi kuielewa hii karma yaan badala ya kumuwezesha jamaa kupata pesa yake aliyotapeliwa,, badala yake eti alietapeli nae anaenda kutapeliwa so what???

Kama kweli kuna karma basi karma its rubbish
Kwa watu wanaojielewa habar Ya kumuachia Mungu haipo.

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Mm nimepoteza zaid ya 5m kwa huku kuamin watu nilicho jifunza fanya kaz kwa mikataba andikishana na watu msipo andikishana itakupa tabu sana kudai haki yako utaona polis wamehongwa lkn wao hawana haki hiyo sio jinai mm nilienda had central pale niliunganishwa na mzee mmoja ila kitu kikishakua makubaliano polisi hawana mamlaka kbsa utaona kama wamehongwa ikiwa jinai wao ndo wanahusika ila makubaliano kuaminiana mzee iyo ish n mahakaman mzee … na hawaruhusiwi kumlaza mtu polisi et kisa anadaiwa anaweza wafungulia kesi pia polisi
 
Ukiwa na pupa na ukiwa na roho nyepesi utapoteza haki yako maana maandiko yenewe yanakuambia "mawazo yenye bidii {ktk lengo au kusudi fulani} huelekea utajiri tu, Bali kila mwenye pupa huuelekea uhitaji. Kwaiyo kuja hapa na kuomba ushauri umekuja sehemu sahihi kbs kwa kuwa umeonyesha bidii ya kupata mawazo ili upate haki yako hivyo kwa hatua ya kwanza upo sahihi na unaelekea kufanikiwa na ninakuombea hivyo mkuu kwan unapambania haki yako. Pesa ni shetani tu wala mtu asikudanganye ingawa tunaona kwenye bible Kitabu cha agai 2:8 fedha ni mali yangu, na dhahabu ni Mali yangu, asema Bwana. Lkn tunaona tena shetani alivyo mwambia Yesu amsujudie tu then atampa miliki yote ya dunia hii lkn Yesu alikataa! Je, unajua kwann? kwa kuwa shida yake haikuwa fedha bali ilikuwa kutimiza kusudi la Mungu alilotumwa, kwa maana palipo na fedha Mungu hayupo hapo. Mt 6:24

Sasa nikirud kwa upande wako mkuu; kwanza kbs unatakiwa uwe na roho ngumu ili kurudisha haki yako ufanye kama kile alichokifanya shetani kwa Yesu na akajidhibitishia kbs kwa kumuonesha miliki zote za ulimwengu na fahari yake na kumwambia haya yote nitakupa ukianguka kunisujudia. Mt 4:8-9

Kwaiyo ukienda kuanguka na kumsujudia mbona chapu unarudisha haki yako wala haina mambo mengi na huo ndio uhalisia wa kiroho mkuu kwenda kwa mganga ni kwenda kwa wakala wa shetani au mjumbe wa shetani hivyo utafanikiwa tu kwa njia hyo ya giza.

Kwan hakuna utajiri wadhuruma hapa duniani wala kujimilikisha mali kwa ulimi wa uwongo kwan hizo mali huwa Kama moshi unavyopotea na mwisho huwa mauti kwa mwenye kuyafanya hayo yote. Mit 21:6

USHAURI: nenda kapambane kama kuna kuchomwa siku ya mwisho tutachomwa wote kwan navyojua Mungu hajatuleta duniani tuje kutapeliana wala kuoneana bali ametuleta ili tupendane, tusaidiane, na kuliishi neno lake. sasa wewe unayemfanyia mwenzako mabaya unatarajia kupokea mema kutoka wapi? Mt 7:1-2
 
Huyo mimi tungemalizana kihuni tuu.wala siendi police ila umechelewa.
 
Amfanyie umafia tu , undava undava , mtu akikusumbua ni kumtengenezea squad ya vijana wa kazi ,kumteka then wanampeleka gereji kumpa kivinyo + kumla tigo , mnamshikilia mpaka atoe huo mtonyo na mkimuachilia mnampa onyo ,akithubutu kutoa siri video zinaleak kumuaibisha.
Wangese mahayawani kama hao ni kudeal nao kinyama tu ,hakuna huruma
Wewe una akili kama zangu.
 
Kuna mdau alikuwa ni mteja wangu, hapa Kariakoo. Nilikua nampa mali kauli ili akauze, mara ya mwisho kabisa uyo mteja alinitapeli. Hakunilipa pesa yangu. Nikafuatilia kwa njia ya sheria na kutumia police wa pale Central ya posta Tukafanikiwa kumkamata lakini kama mnavyojua police hawahusiki na madeni na jamaa alikuwa na connection, hata ndani hakulala.

Kilichotokea tu ni kwamba police walishauri niende mahakamani au tuandikishane pale pale.

Tukaandikishana mkataba kwamba atakua ananilipa kwa awamu. Mpaka sasa hajalipa hata sumni na amekuwa mbishi sana. Ni kama aliwapa pesa wale police maana kila Nikimkumbusha deni langu anakataa anasema yeye amesha nilipa.

Nikimuuliza umenilipaje anasema alikua ananipa pesa cash kitu ambacho ni uongo.

Sasa wadau naombeni solution huyu mtu nimfanye nini? Kwanza kabisa amechangia katika kuanguka kwa biashara yangu.

Mwanzo nilifikiria kwenda mahakamani lakini najua nitapoteza pesa nyingi na wanasheria wengi ni wahuni. Pia mahakimu hawaaminiki wanaweza kula rushwa na nikapoteza haki yangu.

Wazo la pili nafikiria niende kwa mtaalam anisaidie kurejesha deni langu. Nimeshapata connection ya watalaam wanaoweza mambo hayo watu wa uhakika. Walionipa connection wao walifanikisha kurejesha pesa/mali zao.

Naombeni ushauri madhara ya kutumia mtaalam kurejesha deni na faida zake.
Unachelewa chukua gun.
 
Kuna mdau alikuwa ni mteja wangu, hapa Kariakoo. Nilikua nampa mali kauli ili akauze, mara ya mwisho kabisa uyo mteja alinitapeli.
Yaani sisi Watanzania watu wa hovyo kabisa uaminifu ni sifuri! Ila mkuu kwa nini kama ulikuwa na mzigo wa kuwapa watu kwa mali kauli hukumdai aje na bank guarantee? Ingekuwa na bank guarantee wala usingesumbuka bank wenyewe ndio wangekuwa wanakimbizana naye! Hilo nalo liwe funzo kwa wengine! Unakoelekea mkuu unaenda kumfanya chizi huyu mdau maana akina Mshana Jr na Kalumanzira hawana mbinu nyingine zaidi ya kuchizika au kupotezwa mazima!
 
Mkuu mtu km huyo ni kumfanyia uhuni tuu .... Hela haiwezi potea kizembe hvyo
 
Amlilie Mungu ili iweje!??
Mimi Babu yangu alikuwa Mwinjiisti wa AICT lakini watu walivyokuwa wanamchukulia poa na kumsumbua eti kwa vile ni Mwinjilisti hatachukua hatua yoyote, alikuwa anawaambia nitamweka Yesu kwenye mti nikushughulikie nikimaliza narudi kumchukua Yesu wangu! Sawa Mungu naye alishatuahidi kwamba kisasi tumwachie yeye ila huwa inachukua muda mrefu kwa mtu mwenye imani yake!
 
Uyo mteke mpeleke somalia wahuni wa alshabab wakamle kiboga akirudi lazima akulipe na chenchi.
 
Kama ntu wa dini funga jwa ajili yake mlilie Mungu alafu endelea na mambo yako, kama sio ntu wa dini mtafute ntaalam
 
Back
Top Bottom