Namna ya kufanya uwekezaji na kumiliki taasisi ya kifedha kwa wenye mitaji midogo

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Kwa wale wenye malengo yakuja kumiliki taasisi za kifedha n.k au ulisoma 'economics & investment' au 'Finance and investment' na hujui wapi pa kuitumia taaluma yako; huu ni uwanja wako.

Lakini yeyote anaweza akafanya, ili mradi uwe tayari kuchukua 'risk' baada ya kuitathmini.

Inawezekana una mtaji mdogo, labda milioni moja n.k

Fanya yafuatayo:-
  • Sajili jina la biashara i.e Equation x partnership
  • Chukua milioni moja gawa kwa elfu hamsini
  • Utapata 20
  • Ina maana, utatakiwa utafute watu wenye mitaji midogo wanaofanya biashara ya kutoka kwa haraka; inaweza kuwa genge, mama ntilie n.k
  • Tumia ujuzi wako na muda, kupata watu sahihi na ikiwezekana andikianeni makubaliano, namna ya uwekezaji na namna ya kugawana faida.
  • Najua umeenda shule, weka fomula zitakazosaidia uwazi wa mapato
  • Wekeza kwa kila mmoja kiasi cha fedha; na wao watakuwa wanakufanyia kazi bila wao kujua, igawa mtakuwa mnagawana faida.
  • Kwa wale waaminifu unaweza ukawa unaongeza mzigo (fedha) kadiri unavyozalisha.
  • Maendeleo yakiwa mazuri, endelea kuongeza idadi ya watu n.k
  • Ukishakuwa na mtaji mkubwa, unaweza kubadili aina ya biashara kwa kujiondoa kwenye ushirika, na ukawa unawakopesha wao na wengineo, na wakawa wanarejesha kwa riba.
  • Sajili taasisi yako kuwa taasisi ya kifedha
Tujadili.
 
Hapo ndo ile kauli ya kukopa sherehe kulipa matanga ndo ina apply apa
 
Kuna taasisi moja nilifanya nayo kazi miaka ya nyuma, ilikopa pesa nyingi bank; lakini bank ilikuwa inaachia fedha kwa mafungu kutokana na taarifa za uzalishaji na formula walizoziweka.
Mfano unakopa bili. 5; ila utakuwa unapewa kwa mafungu labda mil. 100 kwa siku kutokana na uzalishaji unavyokwenda (formula), baada ya bank kutathmini huo uzalishaji.​
 
Watanzania wengi hawana utamaduni wa kulipa,wazo zuri lakini Jiandae na vita
Inabidi kwanza kulenga wafanyabiashara wadogo ambao biashara zao zinatoka haraka mfano mama ntilie wengi unakuta wana vyombo kama masufulia, meza, sahani n.k alafu mkaa, mchele, mafuta wanakopa dukani na kulipa jioni baada ya mauzo kwaiyo unaweza ukaanza kwa kuwalenga hawa kwanza unampa 20k jioni unapita kuchukua 22k ukiwapa 10 sio mwanzo mbaya
 
Back
Top Bottom