Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Duh!Hilo nuizo la ..."Yakuza yavuz"...ni kama la mwanamazingaombwe wa zamani aliitwa profesa Eyeso!
Gentleman,Kutokana na hali ya kiuchumi kunigonga, nimejikuta nawaza namna ya kuzigeuza hizi 'likes' nilizonazo humu jf ziwe pesa.
Nitumie njia gani ili nizigeuze kuwa hela wakuu?
Kama haziwezi kugeuka hela, usinipe 'like'
Wabeba mizigo, waponda kokoto n.k kila siku wanafanya kazi kwa bidii lakini hawatoboi, unahisi tatizo ni nini?Gentleman,
njia pekee ya kupata pesa na kuondokana na unyonge wa kiuchmi, ni kufanya kazi kwa bidii sana hasa kwenye maeneo ya kilimo, ufugaji na biashara ๐
Nimejaribu kufanya hivyo, lakini ni bilabila
Ingekuwa inahamishika kama mihamala ya bank ingekuwa safi sanaNimeangalia nikakuta unazo 50,703๐
Nitazinunua kwa Tsh 1 kila moja... Changamkia fursa moderator wazihamishie kwangu nikupe 50,700View attachment 3357829
Changamoto ni kwamba wao siyo akina "Tauhida binti Kenge"!Wangekuwa wanasubiri kiinua mgongo cha milioni 200+ muda huu.Wabeba mizigo, waponda kokoto n.k kila siku wanafanya kazi kwa bidii lakini hawatoboi, unahisi tatizo ni nini?
Hebu cheki balance hapo kwenye simu yakoNimejaribu kufanya hivyo, lakini ni bilabila
Nikifanya hivyo, nitakuwa nimeikimbia familia ya jfNjia bora ni kuuza hiyo simu/kifaa unachotumia kuperuzi JF kikiwa na likes zake kama nyongeza.Kimfaacho mtu chake.
NB;Njaa inauma,tusichinje "nyau"!
kwa hekima na busarsa,Wabeba mizigo, waponda kokoto n.k kila siku wanafanya kazi kwa bidii lakini hawatoboi, unahisi tatizo ni nini?
Je,ni heri kuifia JF na kukubali tumbo likuteketeze polepole?Nikifanya hivyo, nitakuwa nimeikimbia familia ya jf