Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
- #21
Kwa mtu ambaye hana chochote kabisa na hakopesheki ana nguvu tu, huyu atawezaje kulima na kufanya ufugaji biashara?kwa hekima na busarsa,
zingatia maeneo niliyoshauri gentleman.
ukilima chakula, ujue una uhakika wa soko la chakula kwasabb waTanzania wanahitaji kula kila siku.
ukifuga ng'ombe, mbuzi, kondoo, kuku au nguruwe, waTanzania wanahitaji maziwa na nyama kila siku.
So,
kwa kufanya kilimo na ufugaji biashara, ni wazi utapata pesa mingi na kuondokana na unyonge wa kiuchmi. Achana kung'ang'ana na kokoto au kubeba mizigo kazi ambazo zinafupisha umri wako wa kuishi 🐒