Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
-
- #21
Kwa mtu ambaye hana chochote kabisa na hakopesheki ana nguvu tu, huyu atawezaje kulima na kufanya ufugaji biashara?kwa hekima na busarsa,
zingatia maeneo niliyoshauri gentleman.
ukilima chakula, ujue una uhakika wa soko la chakula kwasabb waTanzania wanahitaji kula kila siku.
ukifuga ng'ombe, mbuzi, kondoo, kuku au nguruwe, waTanzania wanahitaji maziwa na nyama kila siku.
So,
kwa kufanya kilimo na ufugaji biashara, ni wazi utapata pesa mingi na kuondokana na unyonge wa kiuchmi. Achana kung'ang'ana na kokoto au kubeba mizigo kazi ambazo zinafupisha umri wako wa kuishi π
Je,ni heri kuifia JF na kukubali tumbo likuteketeze polepole?
YAKUZI YAVUZ
Mkuu pesa zipo ni wewe kuamua kutumia YAKUZ au YAVUZ...Duh!Hilo nuizo la ..."Yakuza yavuz"...ni kama la mwanamazingaombwe wa zamani aliitwa profesa Eyeso!
Ilibidi uvue nguo usimame kwenye kiooNimejaribu kufanya hivyo, lakini ni bilabila