Namna ya kuishi kwa kipato cha chini ya Tsh. 330,000/- kwa mwezi

Namna ya kuishi kwa kipato cha chini ya Tsh. 330,000/- kwa mwezi

Anzisha biashara ndogo kama maandazi, genge, vitu vya watoto kama uko karibu na shule. Chochote kile ili mradi unaingiza chochote mbali na mshahara.
 
Back
Top Bottom