K kibobori mahoro JF-Expert Member Joined Dec 12, 2022 Posts 7,452 Reaction score 10,785 Mar 10, 2023 #21 Anzisha biashara ndogo kama maandazi, genge, vitu vya watoto kama uko karibu na shule. Chochote kile ili mradi unaingiza chochote mbali na mshahara.
Anzisha biashara ndogo kama maandazi, genge, vitu vya watoto kama uko karibu na shule. Chochote kile ili mradi unaingiza chochote mbali na mshahara.
Kiufagio Senior Member Joined Aug 19, 2017 Posts 133 Reaction score 135 Mar 11, 2023 #22 Mbaga Jr said: Bora usioe kabisa ili ku-save salio, ukinunua miche miwili ya sabuni ya jamaa nakuhakikishia unatoboa mwezi. Busara zitaniua.! Click to expand... 🤣
Mbaga Jr said: Bora usioe kabisa ili ku-save salio, ukinunua miche miwili ya sabuni ya jamaa nakuhakikishia unatoboa mwezi. Busara zitaniua.! Click to expand... 🤣