Nitafute pesa mini Kula nipangiwe. Chochote kinacholiwa nakula hata nikienda kwa Wahadzabe wanakula nyani nami nakula.
Dini ni utapeli ndiyo maana Quran na Biblia hazitolewi bure.
Kanzu zinazotofautiana bei hata ukienda Macca kuhiji unajitegemea nauli, chakula na malazi mpaka mawe ya kumponda shetani unauziwa.
Wewe hauli kitimoto ila anayekula kitimoto anakuzidi hela, sasa unafanya ujinga gani