Namna ya kuitambua nyama kuwa ni kitimoto

Nitafute pesa mini Kula nipangiwe. Chochote kinacholiwa nakula hata nikienda kwa Wahadzabe wanakula nyani nami nakula.
Dini ni utapeli ndiyo maana Quran na Biblia hazitolewi bure.
Kanzu zinazotofautiana bei hata ukienda Macca kuhiji unajitegemea nauli, chakula na malazi mpaka mawe ya kumponda shetani unauziwa.
Wewe hauli kitimoto ila anayekula kitimoto anakuzidi hela, sasa unafanya ujinga gani
 
ziwashukieni, zilizotiririka kama ndimi za moto zilizojaa kitimoto kitakatifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…