Namna ya kujenga daraja jipya Ferry - Kigamboni ndani ya siku 3 tu

Namna ya kujenga daraja jipya Ferry - Kigamboni ndani ya siku 3 tu

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Ni kwamba zinawekwa ferry tatu (3) tu ndefu na zenye milango mirefu ya kufunguka ambapo zinagusana mwanzo hadi mwisho na hivyo kutengeneza barabara inayoelea baharini.

Na ikitokea meli inataka kupita pantoni la katikayi linajikata na kupisha meli kisha inarudi mahala pake.

Picha hapo chini ina maelezo zaidi.

20200117_213410.jpg

===============================
Update: December 2020
Haya sasa Kenya wameshajiongeza, wacha tuendelea kung’aa macho tu

=============================
 
Ni kwamba zinawekwa ferry tatu (3) tu ndefu na zenye milango mirefu ya kufunguka ambapo zinagusana mwanzo hadi mwisho na hivyo kutengeneza barabara inayoelea baharini. Na ikitokea meli inataka kupita pantoni la katikayi linajikata na kupisha meli kisha inarudi mahala pake. Picha hapo chini ina maelezo zaidi.
View attachment 1326086
Alafu maji yakiondoka watafanyaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kwamba zinawekwa ferry tatu (3) tu ndefu na zenye milango mirefu ya kufunguka ambapo zinagusana mwanzo hadi mwisho na hivyo kutengeneza barabara inayoelea baharini.

Na ikitokea meli inataka kupita pantoni la katikayi linajikata na kupisha meli kisha inarudi mahala pake.

Picha hapo chini ina maelezo zaidi.

View attachment 1326086
Kuandika, Kosoma na Kuhesabu bado ni tatizo kubwa kwa utawala uliopo madarakani. Ukiwapa idea mbadala kama hizi wanakuona umevuta bangi
 
Hii hufanyika kipindi cha emergency tu mfano wakati wa vita ili kuvusha supplies.
Kwa hasara tunayoipata pale ya kununua mafuta ya matrillion na gari kukaa waiting bay masaa matatu kusubiri pantoon na ukizingatia ugumu na ughali wa kujenga daraja la kawaida, huoni kwamba inatulazimu kuja na njia mbadala, regardless huwa zinatumika vitani, emergency or what so ever?
 
Might be a solution, inabidi wizara husika washirikishwe ili kufanya feasibility study kwanza.
 
Zile Boti/Meli zinazokatiza pale sijui zitapitaje baada ya kujenga hill daraja lako. Alafu unajua pale wametega ni sehemu ya kukisanyia mkwanja..
Nimeeleza kwenye uzi kwamba meli zikitaka kupita ile pantoni ya kati hujikata na kupisha meli kisha inarudi mahala pake, na pia magari yataendelea kulipia kama kawaida kama wanavyofanya daraja la Nyerere, hivyo mapato yao hayatoathirika kamwe.
 
Ni kwamba zinawekwa ferry tatu (3) tu ndefu na zenye milango mirefu ya kufunguka ambapo zinagusana mwanzo hadi mwisho na hivyo kutengeneza barabara inayoelea baharini.

Na ikitokea meli inataka kupita pantoni la katikayi linajikata na kupisha meli kisha inarudi mahala pake.

Picha hapo chini ina maelezo zaidi.

View attachment 1326086
Mkuu wazo lako ni zuri ila hapo kama patatolewa pantoni basi pawekwe daraja la kufunga na kufunguka kama lile la London Tower Bridge nchini Uingereza ambalo litakuwa ni refu kwenda juu ili kuwe na air clearance kubwa kuruhusu meli kupita bila kizuizi au likifungwa meli zipite bila tatizo.

Endapo litajengwa daraja kama hilo ujenzi utabidi uanzie mbali ili kutafuta level pande zote za Kigamboni na Magogoni, Pia ni gharama kubwa sana na hii itakuwa ni mradi mkubwa kwetu.
 
Zinakuwa anchored na kamba au minyororo pantoni la kwana na la mwisho, katikati ile milango inajikamata kwa interlocking system, engine zinakuwa OFF!
Mkuu hakuna haja ya kuweka pantoni 3. Kwa mchoro wako huo wa pantoni 3 kati ya pantoni moja na jingine kuna eneo la wazi kiusalama haitokuwa sahihi maana itaweza kuathiri stability ya chombo endapo juu kutakuwa na gari zinapita.

Hii ni kwa sababu pantoni chini litakuwa halina mzigo wowote na juu ndio kuna mzigo hapo Vertical Stability ya pantoni itakuwa dhaifu na kuhatarisha usalama.

Na kuhusu kutumia nanga(anchor) kuzuia pantoni zisisogee itakuwa ngumu, na kuhakikishia hata ukiweka nanga chombo bado kitazunguka hapo hapo (drift) kwa kuwa hapo kuna upepo na mkondo wa maji.

Kuzizuia pantoni 3 kisha meli ikitaka ipite zitoke na baadae pantoni zirudi teknolojia nyingine itabidi itumike na pantoni hazitoweza kuwa off. Lazima emergency generators ziwe zimewashwa maana nanga ili ipande na kushuka tutatumia umeme kusukuma chain.
 
Nakuunga mkono kwa idea yako ila hapo kama kutotumia pantoni pawekwe open and closed tower brigde.

Hilo ni eneo la mlango wa bahari na ndio njia pekee ya kuingia bandari ya Dar. Meli inapoingia au kutoka inabidi isichelewe ili tuwe na Ship Turnaround ya kutumia muda mchache pale bandari na kufanya bandari yetu iwe inafanya kazi haraka kutokana na meli kutotumia muda mrefu.
 
Back
Top Bottom