FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #41
1.) Haitazidi dakika 5Daraja la kufunga na kufunguka lina chukua dakika moja.
Hiyo Pantoni itachukua muda gani kufunguka.
Pili, iyo pantoni ikifunguka itaenda kukaa wapi ili isiwe kikwazo kwa meli kuingia bandarini na litatumia muda gani.
Baharini kuna sheria za uendeshaji vyombo (Rule of the road at the sea). Ukicheki hizo sheria hiki kitu kufanyika kwenye mlango wa bandari itakuwa ngumu.
2.) Itakaa at a 'safe' distance with engines at idle ili kuhimili mawimbi
3.) Nchi ni yetu na bandari ni yetu, hivyo hata sheria ni zetu na tunaweza kuzi-adjust when and where necessary.