FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Alafu maji yakiondoka watafanyaje?Ni kwamba zinawekwa ferry tatu (3) tu ndefu na zenye milango mirefu ya kufunguka ambapo zinagusana mwanzo hadi mwisho na hivyo kutengeneza barabara inayoelea baharini. Na ikitokea meli inataka kupita pantoni la katikayi linajikata na kupisha meli kisha inarudi mahala pake. Picha hapo chini ina maelezo zaidi.
View attachment 1326086
Kuandika, Kosoma na Kuhesabu bado ni tatizo kubwa kwa utawala uliopo madarakani. Ukiwapa idea mbadala kama hizi wanakuona umevuta bangiNi kwamba zinawekwa ferry tatu (3) tu ndefu na zenye milango mirefu ya kufunguka ambapo zinagusana mwanzo hadi mwisho na hivyo kutengeneza barabara inayoelea baharini.
Na ikitokea meli inataka kupita pantoni la katikayi linajikata na kupisha meli kisha inarudi mahala pake.
Picha hapo chini ina maelezo zaidi.
View attachment 1326086
Maji yakiondoka kwenda wapi? Hivi unajua kinachoongelewa, na unalijua vyema eneo la tukio?
Zinakuwa anchored na kamba au minyororo pantoni la kwana na la mwisho, katikati ile milango inajikamata kwa interlocking system, engine zinakuwa OFF!Vipi kuhusu gharama ya mafuta,,!? Au zitaelea engine zikiwa off,,!?
Kwa hasara tunayoipata pale ya kununua mafuta ya matrillion na gari kukaa waiting bay masaa matatu kusubiri pantoon na ukizingatia ugumu na ughali wa kujenga daraja la kawaida, huoni kwamba inatulazimu kuja na njia mbadala, regardless huwa zinatumika vitani, emergency or what so ever?Hii hufanyika kipindi cha emergency tu mfano wakati wa vita ili kuvusha supplies.
Might be a solution, inabidi wizara husika washirikishwe ili kufanya feasibility study kwanza.Kwa hasara tunayoipata pale ya kununua mafuta ya matrillion na gari kukaa waiting bay masaa matatu kusubiri pantoon na ukizingatia ugumu na ughali wa kujenga daraja la kawaida, huoni kwamba inatulazimu kuja na njia mbadala, regardless huwa zinatumika vitani, emergency or what so ever?
Nimeeleza kwenye uzi kwamba meli zikitaka kupita ile pantoni ya kati hujikata na kupisha meli kisha inarudi mahala pake, na pia magari yataendelea kulipia kama kawaida kama wanavyofanya daraja la Nyerere, hivyo mapato yao hayatoathirika kamwe.Zile Boti/Meli zinazokatiza pale sijui zitapitaje baada ya kujenga hill daraja lako. Alafu unajua pale wametega ni sehemu ya kukisanyia mkwanja..
Mkuu wazo lako ni zuri ila hapo kama patatolewa pantoni basi pawekwe daraja la kufunga na kufunguka kama lile la London Tower Bridge nchini Uingereza ambalo litakuwa ni refu kwenda juu ili kuwe na air clearance kubwa kuruhusu meli kupita bila kizuizi au likifungwa meli zipite bila tatizo.Ni kwamba zinawekwa ferry tatu (3) tu ndefu na zenye milango mirefu ya kufunguka ambapo zinagusana mwanzo hadi mwisho na hivyo kutengeneza barabara inayoelea baharini.
Na ikitokea meli inataka kupita pantoni la katikayi linajikata na kupisha meli kisha inarudi mahala pake.
Picha hapo chini ina maelezo zaidi.
View attachment 1326086
Mkuu hakuna haja ya kuweka pantoni 3. Kwa mchoro wako huo wa pantoni 3 kati ya pantoni moja na jingine kuna eneo la wazi kiusalama haitokuwa sahihi maana itaweza kuathiri stability ya chombo endapo juu kutakuwa na gari zinapita.Zinakuwa anchored na kamba au minyororo pantoni la kwana na la mwisho, katikati ile milango inajikamata kwa interlocking system, engine zinakuwa OFF!
Hivi kuelea kunahitaji mafuta? Umesoma shule ya wapi wewe???Vipi kuhusu gharama ya mafuta,,!? Au zitaelea engine zikiwa off,,!?