Namna ya kujenga nyumba kimasihara

Namna ya kujenga nyumba kimasihara

TEMBO WANGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
930
Reaction score
1,290
Wakuu heshima kwenye,

Naamini mmestuka kidogo mkajua Uzi huu unafanana na Uzi wa Rikboy... hapana, hapa namaanisha NAMNA gani tunaweza kupata cement, nondo, tiles, mabati, fundi wa bei rahisi Ila anakazi nzurna vifaa vingine.

Kumbuka unapochangia zingatia kutoka location, na gharama, ikiwezekana na namba ya simu.

Nianze Mimi ukitaka tiles, nenda moja kwa moja kiwandani kule Mkuranga utaweza kutoka kutoka kiwandani... na utuziwa bei ya kiwanda kwa wachina. Je wewe mwenzetu unajua nini ili tusaidiane? Haya kama ni mikoani type direction ya duka bei rahisi.

Asanteni
 
Back
Top Bottom