Unajua zipo hadi za lita million nimejaribu kuongea kwa kadirio la chini kwa kuangalia na Mtaji
ahsante kwa kutuhabarisha ndugu,hiyo mashine ni tshs ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahsante kwa kutuhabarisha ndugu,hiyo mashine ni tshs ngapi?
Andika Kitabu / DVD kuhusu namna ya kujiajiri na kutengeneza ajira alafu ukiuze ujipatie pesa..
Ninachotaka kuelezea hapa tulipo inahitajika nguvu ya ziada kufufua viwanda ili kuondoa umati wa watu wasio na ajira, wote hatuwezi tukawa wafanyabiashara.., na kama sio hivyo basi wote wafanyabiashara / wajasiliamali wanaofanana waunde vikundi ili waweze kuuza na kununua mahitaji yao katika vikundi.
Ni vigumu wewe mfuga kuku mwenye kuku 50 kila baada ya miezi mitatu kupata soko kubwa kuliko kama kikundi chenu kikiwa na uwezo wa kusupply maelfu ya kuku siku yoyote..., wengi kabla hawajakupa tender wanaangalia supplying ability
wanatoa ushauri kuhusu kutafuta masoko nje ya nchi zao wanatangaza bidhaa zao na kisha ile membership fee ndo inawafanya wanufaikie zaidi
Hii kama DECI unapanda mbegu kwa kuleta vichwa 6?