Namna ya kujiajiri na kutengeneza ajira

Namna ya kujiajiri na kutengeneza ajira

Andika Kitabu / DVD kuhusu namna ya kujiajiri na kutengeneza ajira alafu ukiuze ujipatie pesa..

Ninachotaka kuelezea hapa tulipo inahitajika nguvu ya ziada kufufua viwanda ili kuondoa umati wa watu wasio na ajira, wote hatuwezi tukawa wafanyabiashara.., na kama sio hivyo basi wote wafanyabiashara / wajasiliamali wanaofanana waunde vikundi ili waweze kuuza na kununua mahitaji yao katika vikundi.

Ni vigumu wewe mfuga kuku mwenye kuku 50 kila baada ya miezi mitatu kupata soko kubwa kuliko kama kikundi chenu kikiwa na uwezo wa kusupply maelfu ya kuku siku yoyote..., wengi kabla hawajakupa tender wanaangalia supplying ability

Umeongea vitu vya maana sana sema umewaaambia watu wenye vision ndogo ushauri wako utakuja kutumiwa na vizazi vya mbele kidogo
 
Kweli Tanzania ina fursa nyingi sana na ukikomaa unatoka kwa haraka,ili kutimiza haya lazima tufanye kazi kwa bidii na sana na kutumia muda mwingi kwani hatuna mtaji wa kutosha na hata mzunguko wa fedha bado uko chini kulingana na hali za kimaisha zinazotukabili sisi pamoja na familia zinazotuzunguka.
 
wanatoa ushauri kuhusu kutafuta masoko nje ya nchi zao wanatangaza bidhaa zao na kisha ile membership fee ndo inawafanya wanufaikie zaidi

Mkuu hii nayo ajira? Ujanja ujanja tu. Na hapa unataka kulamba vichwa ili ikajiongezee vibonus vyako huko teh teh teh
 
Back
Top Bottom