Andika Kitabu / DVD kuhusu namna ya kujiajiri na kutengeneza ajira alafu ukiuze ujipatie pesa..
Ninachotaka kuelezea hapa tulipo inahitajika nguvu ya ziada kufufua viwanda ili kuondoa umati wa watu wasio na ajira, wote hatuwezi tukawa wafanyabiashara.., na kama sio hivyo basi wote wafanyabiashara / wajasiliamali wanaofanana waunde vikundi ili waweze kuuza na kununua mahitaji yao katika vikundi.
Ni vigumu wewe mfuga kuku mwenye kuku 50 kila baada ya miezi mitatu kupata soko kubwa kuliko kama kikundi chenu kikiwa na uwezo wa kusupply maelfu ya kuku siku yoyote..., wengi kabla hawajakupa tender wanaangalia supplying ability