NAMNA YA KUJIANDAA KIUCHUMI KABLA YA KUANZA UJENZI🦺

NAMNA YA KUJIANDAA KIUCHUMI KABLA YA KUANZA UJENZI🦺

Qs Cathbert

Member
Joined
Mar 20, 2023
Posts
57
Reaction score
100
Watu wengi tunafail ku accomplish ndoto zetu za kujenga au tunajenga na kushindwa kumaliza kwasababu tu ya kukosa plan nzuri ya gharama katika ujenzi

Stratergical way ya ku-win financial problem katika ujenzi ni kuwa na MATERIAL SCHEDULE ya jengo linalo jengwa,,, Material schedule ni document inayo classfy construction project material wise na labour. Katika kukuandalia material schedule nitakuainishia gharama za ujenzi basing on 5 main stages,,


1.Msingi (foundation)

Hapa utapata total amount ya msingi pamoja na mchanganuo wake wa material mwisho labour


2.Boma (Frames and walling)

Hapa utapata total cost ya Nguzo, Beam, Lintel kama zitakuepo pamoja na ukuta pia mchanganuo wake kama Cement, Nondo, mchanga, kotoko, tofali, formworks na all other materials plus Labour


3.Roof

Hapa pia utapata gharama zake na mchanganuo wa materials kama Bati, truss (mbao), nails plus labour


4. Doors and Windows

Sequence hii ndo ambayo itatumika hata katika execution ambapo katika stage hii huwa tunatanguliza grilles na gates

Hapa utapata cost zote pia na mchanganuo plus labour


5. FINISHINGS

Hapa utapata total cost yake ikiwa imegawanyika katka 3 phases Floor finishing, Wall finishing pamoja na Ceiling finishing. Pamoja na mchanganuo wake wa materials.


NB.Kufanikiwa kujua hio itakupa mwanzo mzuri wa kujiandaa nakufahamu unahitaji nini wakati gani.


Pia estimates hizi huwa zinadumu kwa kipind fulani cha muda, baada ya muda tena kama wa mwaka mmoja na kuendelea zinatakiwa kuwa updated tena ikisababishwa na kubadilika kwa gharama za materials n.k

Qs Cathbert Swai

Mob: 0625272770
 
Ukiangalia yote hayo hujengi.anza na ulichonacho mengine yatajipa mbele kwa mbele.
Me nimetumia miaka kumi k7maliza ujenzi.nlianza na msingi na kunyanyua mpaka lenta hela ikakata nikasubili miaka miwili nikapaua nikasubili tena mwaka na miezi kadhaa nikaweka milango madirisha baadae miaka 3 nikasubili nikaweka umeme na maji.jua hapo naaunga sina stable income.lakni nishamaliza saiv najikusanya niweke frem 3 za duka mbele nitulie sasa niache kupanda daladala kwenda kusota.maana ntakaba frem moja nyingne ntapea watu
 
Back
Top Bottom