Maria Nyedetse
JF-Expert Member
- Apr 24, 2021
- 661
- 1,501
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wahanga wengi ni wanawake na watoto, Mungu atunusuru tusioweza kujilinda

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo ndio maamuzi ya Mwanaume sio kumpaka rangi punda ili awe pundamilia.2016 kitaani kwetu kulizuka huu upumbavu wa hivi vitoto tena bado vinanuka maziwa kabisa, vimejiunga kundi kama la watoto 30 hivi mchana kutwa ni kuvuta bangi halafu usiku vinaingia kitaani kufanya matukio.
Vilibahatika kupiga matukio kwenye nyumba kama 3 hivi, vikawacharanga mapanga wenye nyumba na kuchukua pesa, simu, tv na vitu vingine vidogo vidogo.
Wanaume tukakaa chini kujadili eti watu wanadai tupeane zamu ya kulinda usiku (Sungusungu)
Katika huo mjadala tulikuwepo watu kama wanne tukapinga kabisa suala la kupeana zamu ya kulinda, yaani vitoto vya darasa la saba kweli vituzuie wanaume tusilale usiku?
huo tuliona ni zaidi ya upumbavu, yaani mchana kutwa tunashinda kazini halafu inafika usiku tusipumzike kisa hivi vikinda vilivyokosa malezi.
Tuliitisha kikao na wananchi wote kitaani na kutoa onyo kwa wazazi wawakanye hao panya wao ili mbele ya safari tusije kulaumiana.
Katika kikao wananchi wakawa wanataja majina ya hao watoto wanaojihusisha na huo uhalifu, tukapata orodha ya majina kama 17 hivi ya watoto tunaowajua kabisa hapo mtaani kwetu na wazazi wengine kukiri kabisa kua watoto wao wamekua na mienendo ya hovyohovyo.
Siku ya pili baada ya kile kikao panya road wakatuma salamu kwa kumvamia kiongozi mmoja wa dini hapo kitaani kwetu wakamcharanga kidogo mapanga halafu wakaiba walivyoiba na kutokomea.
Asubuhi kumekucha baada ya taarifa kuenea tukaona huu ndio wakati muafaka sasa wa kuanza kuwawajibisha hawa watoto wanaoanza kuota mapembe,
pitia katika yale majina tukaanza kuingia nyumba kwa nyumba tukabahatika kuwadaka madogo wawili, tukawafinya haswa haswa wakakiri wenyewe walihusika kwenye tukio la jana na wakataja majina ya wenzao, baada ya kumaliza kutaja majina wananchi wenye hasira kali wakaanza kutembezea mapanga na matofali kisha wakamalizia na kidumu cha petrol.
Ukaanza msako wa majina yaliyobakia jioni akamdakwa dogo mwingine, nae akafanyiwa vilevile kama walivyofinyiwa wale wenzake wawili.
Wazazi waliowapenda watoto wao baada ya kuona wananchi tumeamua kua serious faster wakawakimbiza mikoani ili kukwepa hukumu ya wanachi wenye hasira kali.
Zile sura kwenye ile orodha yetu tulikaa zaidi ya mwaka hatukuziona tena mtaani, na hua ndio ukawa mwisho wa upumbavu wa aina yoyote hapa mtaani kwetu.
Kikubwa hawa madogo ni kuwachekea chekea ndio wanajifanya manunda ila wananchi wenyewe wakiamua kua serious huu upumbavu hauwezi kuwepo kwenye jamii yoyote.
Safi sana mkuu,katika hayo masekeseke ya Kupitia orodha ya Panya Road na kuwaadabisha kiasi cha wengine kutorokea mitaani basi mmoja ya waliotoroka alikuwa mtoto wa kaka yangu alikuwa anaishi Mbagala Charambe akatoroshewa huko Morogoro ndanindani na kaka yangu maisha yakaendelea. Sasa huko alipoenda bhana akawa organizer wa kundj jipya la Panya Road nikawa naskia matukio yake tu mara kaiba pikipiki yeye na kundi lake,mara kachanachana khanga ya dada yake vipandevipande,mara yeye na wahuni wenzie wamevamia kilabu cha pombe za kienyeji na kupora nikamwambia bro huyu mtoto kama kakushinda hebu niachie mimi nimfundishe adabu,Bro akanipa baraka zote nilichofanya mimi sukuma ndinga vuup mpaka Kijijini nikamwambia dogo kuna kazi nataka tukaifanye mjini chukua na washkaji wako kama watatu hivi twende nao nikajua tu kwamba angewachagua tu wale wa kwenye cycle yake na wao nilitaka niwafinye kidogo hili wamuone dogo kama ukoma hata akija siku nyingine wasimpe kampani. Basi bhana hao mpaka Dar kuna jamaa zangu wapo pale Oysterbay police post nikawapa mchongo wote basi nilivyowafikisha tu madogo tukaenda huko nje ya mji maafande wakiwa na gwanda zao vilevile aisee walitoa kibano mpaka huruma ikaanza kuniingia hakuna rangi au mateso ambayo wale madogo hawakuacha kuyaona..Tangu siku ile dogo respect sana siku hizi yupo South naambiwa katulia huyo anauza mini supermarket huko...Sometimes wazazi wetu wa uswahilini wanachangja ongezeko la Panyaroad kwa kuwakingia kifua2016 kitaani kwetu kulizuka huu upumbavu wa hivi vitoto tena bado vinanuka maziwa kabisa, vimejiunga kundi kama la watoto 30 hivi mchana kutwa ni kuvuta bangi halafu usiku vinaingia kitaani kufanya matukio.
Vilibahatika kupiga matukio kwenye nyumba kama 3 hivi, vikawacharanga mapanga wenye nyumba na kuchukua pesa, simu, tv na vitu vingine vidogo vidogo.
Wanaume tukakaa chini kujadili eti watu wanadai tupeane zamu ya kulinda usiku (Sungusungu)
Katika huo mjadala tulikuwepo watu kama wanne tukapinga kabisa suala la kupeana zamu ya kulinda, yaani vitoto vya darasa la saba kweli vituzuie wanaume tusilale usiku?
huo tuliona ni zaidi ya upumbavu, yaani mchana kutwa tunashinda kazini halafu inafika usiku tusipumzike kisa hivi vikinda vilivyokosa malezi.
Tuliitisha kikao na wananchi wote kitaani na kutoa onyo kwa wazazi wawakanye hao panya wao ili mbele ya safari tusije kulaumiana.
Katika kikao wananchi wakawa wanataja majina ya hao watoto wanaojihusisha na huo uhalifu, tukapata orodha ya majina kama 17 hivi ya watoto tunaowajua kabisa hapo mtaani kwetu na wazazi wengine kukiri kabisa kua watoto wao wamekua na mienendo ya hovyohovyo.
Siku ya pili baada ya kile kikao panya road wakatuma salamu kwa kumvamia kiongozi mmoja wa dini hapo kitaani kwetu wakamcharanga kidogo mapanga halafu wakaiba walivyoiba na kutokomea.
Asubuhi kumekucha baada ya taarifa kuenea tukaona huu ndio wakati muafaka sasa wa kuanza kuwawajibisha hawa watoto wanaoanza kuota mapembe,
pitia katika yale majina tukaanza kuingia nyumba kwa nyumba tukabahatika kuwadaka madogo wawili, tukawafinya haswa haswa wakakiri wenyewe walihusika kwenye tukio la jana na wakataja majina ya wenzao, baada ya kumaliza kutaja majina wananchi wenye hasira kali wakaanza kutembezea mapanga na matofali kisha wakamalizia na kidumu cha petrol.
Ukaanza msako wa majina yaliyobakia jioni akamdakwa dogo mwingine, nae akafanyiwa vilevile kama walivyofinyiwa wale wenzake wawili.
Wazazi waliowapenda watoto wao baada ya kuona wananchi tumeamua kua serious faster wakawakimbiza mikoani ili kukwepa hukumu ya wanachi wenye hasira kali.
Zile sura kwenye ile orodha yetu tulikaa zaidi ya mwaka hatukuziona tena mtaani, na hua ndio ukawa mwisho wa upumbavu wa aina yoyote hapa mtaani kwetu.
Kikubwa hawa madogo ni kuwachekea chekea ndio wanajifanya manunda ila wananchi wenyewe wakiamua kua serious huu upumbavu hauwezi kuwepo kwenye jamii yoyote.
Experience adimu sana hii.Rafiki yangu akawapokea Kwa kusema Oyo!Oyo! oyo! Huku na Mimi nikiwa nadakia kuonyesha tupo pamoja.
Kawaida tuu. Usikonde!Uzi wa kibabe sana, asante
Unaweza kufanya utani lakini ni hatari kuwa na vijana wengi wasio na mwelekeo wa mb maisha mitaani
wahuni cku zote jichanganye nao ata kama wew sio muhuni.. wafnye kuwa rafiki ;ukikutan nao sehem za bata watembezee ata dusko au ata fegi kama uko vizuri ;iyo itafanya wakujue na pia utaishi kwa usalama mtaa huo.
Kuna mwaka walimvamia ustadh mmoja anatoka madrasa wakampiga na kumpora simu na kumuua papo kW papo. Jamaa zetu wa masjid Taqwa na Mtambani, vijana wa kazi walienda polisi mwananyamala. Wakawaambia polisi ndugu yetu ameuwawa sisi tutawasaidia kuwapata wauwaji na tutatoa funzo kwa panya road wote. Ebana eeh walikuja vidume kama ishirini hivi awalioiva marshal arts wakazuia njia zote ambazo panya road huzitumia kurudi majumbani mwao. Walidaka mmoja mmoja na kuvunja miguu na mikono na kuwapeleka polisi mmoja baada ya mwingine
Nadhani tuwe makini na baadhi ya maneno. Kiswalihi kina utajiri wa maneno, wala haina haja kutumia neno ambalo linaleta maana isiyo na maadili katika jamii yetu (hasa watanzania).
Inawezekana linafit mahali lilipotumika, lakini lina maana mbili tofauti, ambapo maana ya pili inaleta ukakasi. Ikitokea hivyo, basi tuweke neno lingine hata kama halitafit kama lile la mwanzo. Hii itaepusha taharuki katika jamii husika.
Kwa mfano, washirika wanashirikiana (hii sawa), lakini kusema wanajamii wanajamiiana, hii sio sawa, kwani sentensi hiyo ina maana zaidi ya moja, ambapo maana nyingine, kimaadili, hatupaswi kuisema kama hapana ulazima. Ingetosha kusema, ''wanajamii wanasaidiana'', na watu wangeelewa bila tatizo lolote.
Mtu amejenga nyumba ajabu ndani tena chumbani hana panga wala mkuki wala jambia au rungu au kwenye gari unakosaje hata panga kwenye buti au unatembea unakosaje kisu kidogo au cha kati cha kiunoni au mfukoni,
2016 kitaani kwetu kulizuka huu upumbavu wa hivi vitoto tena bado vinanuka maziwa kabisa, vimejiunga kundi kama la watoto 30 hivi mchana kutwa ni kuvuta bangi halafu usiku vinaingia kitaani kufanya matukio.
Vilibahatika kupiga matukio kwenye nyumba kama 3 hivi, vikawacharanga mapanga wenye nyumba na kuchukua pesa, simu, tv na vitu vingine vidogo vidogo.
Wanaume tukakaa chini kujadili eti watu wanadai tupeane zamu ya kulinda usiku (Sungusungu)
Katika huo mjadala tulikuwepo watu kama wanne tukapinga kabisa suala la kupeana zamu ya kulinda, yaani vitoto vya darasa la saba kweli vituzuie wanaume tusilale usiku?
huo tuliona ni zaidi ya upumbavu, yaani mchana kutwa tunashinda kazini halafu inafika usiku tusipumzike kisa hivi vikinda vilivyokosa malezi.
Tuliitisha kikao na wananchi wote kitaani na kutoa onyo kwa wazazi wawakanye hao panya wao ili mbele ya safari tusije kulaumiana.
Katika kikao wananchi wakawa wanataja majina ya hao watoto wanaojihusisha na huo uhalifu, tukapata orodha ya majina kama 17 hivi ya watoto tunaowajua kabisa hapo mtaani kwetu na wazazi wengine kukiri kabisa kua watoto wao wamekua na mienendo ya hovyohovyo.
Siku ya pili baada ya kile kikao panya road wakatuma salamu kwa kumvamia kiongozi mmoja wa dini hapo kitaani kwetu wakamcharanga kidogo mapanga halafu wakaiba walivyoiba na kutokomea.
Asubuhi kumekucha baada ya taarifa kuenea tukaona huu ndio wakati muafaka sasa wa kuanza kuwawajibisha hawa watoto wanaoanza kuota mapembe,
pitia katika yale majina tukaanza kuingia nyumba kwa nyumba tukabahatika kuwadaka madogo wawili, tukawafinya haswa haswa wakakiri wenyewe walihusika kwenye tukio la jana na wakataja majina ya wenzao, baada ya kumaliza kutaja majina wananchi wenye hasira kali wakaanza kutembezea mapanga na matofali kisha wakamalizia na kidumu cha petrol.
Ukaanza msako wa majina yaliyobakia jioni akamdakwa dogo mwingine, nae akafanyiwa vilevile kama walivyofinyiwa wale wenzake wawili.
Wazazi waliowapenda watoto wao baada ya kuona wananchi tumeamua kua serious faster wakawakimbiza mikoani ili kukwepa hukumu ya wanachi wenye hasira kali.
Zile sura kwenye ile orodha yetu tulikaa zaidi ya mwaka hatukuziona tena mtaani, na hua ndio ukawa mwisho wa upumbavu wa aina yoyote hapa mtaani kwetu.
Kikubwa hawa madogo ni kuwachekea chekea ndio wanajifanya manunda ila wananchi wenyewe wakiamua kua serious huu upumbavu hauwezi kuwepo kwenye jamii yoyote.
Mara nyingi hawa watoto hua wanaharibiwa na wazazi wao wenyewe, dogo anazingua badala mzazi amuwajibishe yeye anamchekea mwisho wa siku dogo anakua nunda.Safi sana mkuu,katika hayo masekeseke ya Kupitia orodha ya Panya Road na kuwaadabisha kiasi cha wengine kutorokea mitaani basi mmoja ya waliotoroka alikuwa mtoto wa kaka yangu alikuwa anaishi Mbagala Charambe akatoroshewa huko Morogoro ndanindani na kaka yangu maisha yakaendelea. Sasa huko alipoenda bhana akawa organizer wa kundj jipya la Panya Road nikawa naskia matukio yake tu mara kaiba pikipiki yeye na kundi lake,mara kachanachana khanga ya dada yake vipandevipande,mara yeye na wahuni wenzie wamevamia kilabu cha pombe za kienyeji na kupora nikamwambia bro huyu mtoto kama kakushinda hebu niachie mimi nimfundishe adabu,Bro akanipa baraka zote nilichofanya mimi sukuma ndinga vuup mpaka Kijijini nikamwambia dogo kuna kazi nataka tukaifanye mjini chukua na washkaji wako kama watatu hivi twende nao nikajua tu kwamba angewachagua tu wale wa kwenye cycle yake na wao nilitaka niwafinye kidogo hili wamuone dogo kama ukoma hata akija siku nyingine wasimpe kampani. Basi bhana hao mpaka Dar kuna jamaa zangu wapo pale Oysterbay police post nikawapa mchongo wote basi nilivyowafikisha tu madogo tukaenda huko nje ya mji maafande wakiwa na gwanda zao vilevile aisee walitoa kibano mpaka huruma ikaanza kuniingia hakuna rangi au mateso ambayo wale madogo hawakuacha kuyaona..Tangu siku ile dogo respect sana siku hizi yupo South naambiwa katulia huyo anauza mini supermarket huko...Sometimes wazazi wetu wa uswahilini wanachangja ongezeko la Panyaroad kwa kuwakingia kifua
Panya road huku kwetu masaki hamna Mambo hayo ..
Kuna jamaa yangu, aliwahi kuchezea kipigo na hawa panya road, mbele ya dem wake, mitaa ya cocobeach.. Ili nifundisha niwe na tembea na siraha muda wote...
Matukio ya mwanzo ya hawa panya kufanya mjumbe na mwenyekiti wetu alienda kulalamika kituo cha polisi, ila polisi nao walimuuliza mwenyekiti hapo mtaani kwenu kuna wanaume pia wanaishi au mtaa wote wanaishi wanawake?Huo ndio Uanaume!
Wao ndio wakashtaki Polisi, sio ninyi wanaume wazima bila haya mnaenda kushtaki baada ya kuonewa.
Ninyi kazi yenu kutoa taarifa polisi tuu,
Panyaroad wana maeneo yao wanayo yaoneaKuna mwaka walimvamia ustadh mmoja anatoka madrasa wakampiga na kumpora simu na kumuua papo kW papo. Jamaa zetu wa masjid Taqwa na Mtambani, vijana wa kazi walienda polisi mwananyamala. Wakawaambia polisi ndugu yetu ameuwawa sisi tutawasaidia kuwapata wauwaji na tutatoa funzo kwa panya road wote. Ebana eeh walikuja vidume kama ishirini hivi awalioiva marshal arts wakazuia njia zote ambazo panya road huzitumia kurudi majumbani mwao. Walidaka mmoja mmoja na kuvunja miguu na mikono na kuwapeleka polisi mmoja baada ya mwingine
Watu watengeneze teamSiku hizi kuna madarasa ya kujifunzia ngumi Kwa wanawake kwenye Gym nyingi hapa jijini
Nimeitumia sana hii mbinu kuishi na wahuni wa tandika kilimahewa bila shida yoyote, ilikuwa nikienda mtaa ambao sijulikani alafu nikataka kuwekwa mtu kati basi akitokea muhuni ata mmoja tu wa kitaa changu utasikia "oyyoo mkaushieni hyu mwanetu, huyu kichaa wetu mwache ajikatae". Mpk nahama tandika takriban miaka zaidi 7 Ya kuishi kule sikuwahi kuporwa wala kuzinguliwa na muhuni,.wahuni cku zote jichanganye nao ata kama wew sio muhuni.. wafnye kuwa rafiki ;ukikutan nao sehem za bata watembezee ata dusko au ata fegi kama uko vizuri ;iyo itafanya wakujue na pia utaishi kwa usalama mtaa huo.