Namna ya kujihami na Panya Road au Makundi ya namna hiyo

Mtaa ganinhuo mkuu
 
Hao madogo mkimkamata mmoja mnakata kichwa kama walivyokuwa wanafanya ISIL, mnakitupa hapo hapo mtaani watakuja polisi kuzoa maiti, wakija tena mchezo ni huo huo kata kichwa !
 
Shkamoo mwalimu. Kuna ajira za kwenda Marekani kufundisha kiswahili.
 
wahuni cku zote jichanganye nao ata kama wew sio muhuni.. wafnye kuwa rafiki ;ukikutan nao sehem za bata watembezee ata dusko au ata fegi kama uko vizuri ;iyo itafanya wakujue na pia utaishi kwa usalama mtaa huo.
Umefeli pabaya kiongozi
Hivi nani kawakaririsha haya ?

Mi mzaliwa wa Manzese nakwambia usithubutu
 
Magufur alikomesha vibaka,, kuanzia 2017 na 2018 mtaani mwanza mtaan kwetu vibaka walipotea , wengine walikimbia na kuhama kabisa.

Kulikua na opereshen ya kimya ,, nilisikia vibaka walikua wakikamatwa hawapelekwi polis wanapelekwa kuna sehem inaitwa kigoto anapigwa risas jiji wanaenda kuzika.

Kuna watu kama wa 4 nawafaham walikua vibaka walipotea mazingira ya kutatanisha mpka leo haijulikan walipo hata gerezan hawapo. Inasemekana waliangukia kwenye hiyo opareshen ya tokomeza vibaka ni risas hata familiar yako haipat nafas ya kujua umepatwa na nini.
 

Noma Sana hiyo
 
Aaah mzee wa fasihi kumbe nawe ujaruka stage,
 
Kibano sio dawa ya hawa wapumbavu,nenda uone wanavyodundwa police, unaweza ukamuonea huruma mwizi wako.Lakini akitoka tu ndani wizi kama kawaida,wizi ni Roho.
Na wezi wote upewa jeuri na waganga wa kienyeji, maana mganga ni mfanyabiashara
 
wahuni cku zote jichanganye nao ata kama wew sio muhuni.. wafnye kuwa rafiki ;ukikutan nao sehem za bata watembezee ata dusko au ata fegi kama uko vizuri ;iyo itafanya wakujue na pia utaishi kwa usalama mtaa huo.
Shetani hana rafiki,we jichanganye nao watakuchora ramani utaibiwa na wahuni wenzao wa mtaa wa pili
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wahanga wengi ni wanawake na watoto, Mungu atunusuru tusioweza kujilinda
Umewasahau wanaume wa daslamu
 
Mimi siwezi kuwapa wahuni hela kwa ajili ya kujenga nao urafiki , eti wakinidaka usiku waanze "mwanetu mkaushieni" [emoji3][emoji3][emoji3] sifanyi huo ujinga !! Tukikutana tukiwashe kiume tunaupanga hapo atakayeshindwa fresh, Hela nitafute kwa jasho halafu nilipie na Bima ya kutokabwa usiku ! Tupigane au mkiniotea nichomoeni !

Haya na wote tukilipia hiyo Bima ya kutokabwa na tukajenga nao urafiki watamkaba nani sasa !! Automatic wataturudia sisi wenyewe

Wahuni ni nimekutana nao mara nne ! Tatu kati ya hizo ni juhudi zangu !! Moja walinidaka naenda kusali alfajiri ile ibada ya kwanza kama saa 11:30 hivi nilikua na buku 5 na 700 ya sadaka ! Nikaona kizazi waishi nayo tu !! Nikarudi ghetto !

Tusiwalee,
 
Nimekulia Manzese

Muhuni hana sababu kama vile mchawi
 

Dawa ya wahuni ni Moto tuu!
 
Wee jamaa jinga sana. Eti Watu wafanye mazoezi ya yoga ili kujiandaa na uvamizi wa Panya Road. Unavyo force mambo utadhani unajibu swali la mtihani.
 
N
😀😀

Alafu Kwa makusudi vitu vizuri tunaviweka mwishoni ili wavivu wasivipate.

Hiyo ni kanuni ya Vita na Maisha😂😂
Ndiyo maana mara nyingi Mimi husoma sentence chache za juu, Kati Kati na mwisho kama bandiko linaita naanza mwanzo kulisoma kwa makini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…