Namna ya kujihami na Panya Road au Makundi ya namna hiyo

Wewe Jombaa umenikosha. Hii inaweza kuwa ndio comment iliyoni-impress toka nimejiunga JF.

Mambo uliyobonga hapo juu ndiyo yanayopaswa kufanywa na wanaume ktk jamii, babu zetu ndivyo walivyokuwa wakifanya miaka ya nyuma.

Simba akiingia kijiji kwenu, wanaume mnakaa chini na kupeana majukumu kufikia jioni kabla jua halijazama kichwa chake kiwe hapa.
 
Mtu amejenga nyumba ajabu ndani tena chumbani hana panga wala mkuki wala jambia au rungu au kwenye gari unakosaje hata panga kwenye buti au unatembea unakosaje kisu kidogo au cha kati cha kiunoni au mfukoni,
Kwenye gari panga halitakiwi kukaa kwenye buti jamaa yangu, mimi panga langu tena jambia (1m long) lipo chini ya siti yangu yani nikishuka nashuka nalo chap. Na kwenye ndroo ya chini ya siti yangu pia nina silaha nyingine sitembei kizembe aisee.
 
Nakumbuka nikiwa Yombo vituka miaka ya 2007 kila tukipita chochoro flan ilikuwa lazima tuwashe fegi huku vifua wazi mida ya usiku.

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜€Mbele kidogo utasikia OYA JOMBAA VIPI Niachie ukucha.


Jua lugha yao pia Kama unaishi uswahilin.

Sio UNASIKIA "KUSH" mwingine "MACHOZI" wewe unaendelea tu kuchat na SIMUπŸ˜…πŸ€£
 

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mtu amejenga nyumba ajabu ndani tena chumbani hana panga wala mkuki wala jambia au rungu au kwenye gari unakosaje hata panga kwenye buti au unatembea unakosaje kisu kidogo au cha kati cha kiunoni au mfukoni,
Eish πŸ˜‚
 
Panyaroad wanadhubitiwa na upinde na mishale yenye sumu, wakijua mtaa una mishale yenye sumu awauchezei mtaa huo. Tena inatakiwa muwatangazie kabisa, wekeni na mabango kabisa" ukiingia utoki"
 
Umeeleza vema! Kanuni ya kuwakabili wahuni na wahalifu ni mpaka wenye nguvu either kiuchumi au kijamii waguswe. Mlichukua hatua baada ya kiongozi wa dini kufanyiziwa!!!!? Hata leo kama mke au binti wa kiongozi serikalini atabakwa na panya road ndiyo itakuwa mwisho wao, vinginevyo usitegemee msaada wa hao wanao lipwa kama polisi.
 
Panyaroad inatakiwa wakabe na kubaka watoto wa viongozi au RPC wakifanya hivyo kufika jioni hakutakuwa na panya yeyeto anasumbua tena mtaani.Kumaliza tatizo kwenye Jamii ni hadi viongozi waguswe.
 
duh nashangaa sana itakuwa kuna mtu nyuma.
 
Ushauri wangu kama kijana nliyekulia Uswahilini. Kwanza haikusaidii kitu kujenga mahusiano na hawa vijana wa panya road itafika siku watakukaba tu muhuni ni muhuni na usimuamini hata kidogo atakutumia marafiki zake kukutendea uovu.

Pili unapokuwa kwenye mazingira ya kukabwa una option mbili tu kama ni kupigana pigana kweli na uwe faster kuwa attack kabla yao muda wanakuja macho yako yawe kwao ukiona dalili tu za kukabwa react haraka sana piga ngumi ya shingo mtu aende chini au kama una disibisi peleka kweli usitishie watakuumiza hawana cha kupoteza uiogope kuua ni self defence hakikisha unatoa fundisho huwa wanatabia ya kurudisha feedback za watu wa bad.

Mbili kama huna roho mbaya roho ya kikatili basi usireact we cooperate vizuri waache wachukue wanachotaka wakuachie roho yako muhimu kutotembea na vitu vya thamani mazingira hatarishi. Kama wapo mtaani kwenu basi hakikisha una vijisent vya kureta pila na kuhonga police wepewe kipondo itakufanya uwe exceptional.
 

Kwa ambao hawapendi Makala ndefu wasome hapa, short and clear
 
Maeneo ya hatari ni yapi hayo mkuu?
 
Maisha ya siku hizi lazima uwe na kiasi fulani 'chochote' Cha ukatili.

Sio kwenye kutafuta mafanikio, sio kwenye kupambana na umakini, ujinga na malazi. Ukiwa lelemama....

Ukiwa lelemama ni rahisi sana kujitoa roho, utu.

Panya road ni bomb linalipuka Sasa baada ya kutengenezwa miaka mingi iliyopita.

Ukosefu wa elimu, ajira, malezi na matumizi ya madawa ya kulevya hapa ndipo yalipotufikisha. Vijana tunamatarajio mengi sana na kufikika kwake ni mtihani. Siasa ndo imekuja kutuvuruga kabisaaa..huenda panya road ni diversion ya ajenda fulani ilikuwa inajadiliwa Sasa tupoteze Kwa namna hii.

Nakemea panya road Kwa nguvu zoote, na siwaonei huruma. Mchuma janga atakula na nduguze. Yawakute kama waliyoyasababisha Kwa wenzao.





Sent from my Nokia C20 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…