Namna ya kujihami na Panya Road au Makundi ya namna hiyo

pumzika kwa amani uncle wangu..walimchoma kisu uncle wangu, alikua ametoka masjid saa mbili usiku ile akakuta vibaka wamemtight sista analia..akaenda kumsaidia huyo sista kumnasua kwenye vibaka kumbe kuna vibaka wengine walikua wamekaa chobingo apo wameskuti..dah il7e kampiga roba kibaka anataka ammalize na yy akapigwa kisu cha mgongo..

Binadamu jamani..vibaka kuona wameua wakakimbia hata yule dada nae akakimbia.
 
Lini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…