A Amitriptyline New Member Joined Sep 11, 2024 Posts 3 Reaction score 1 Dec 19, 2024 #1 Wakuu kwa mwenye uelewa naomba nijuzwe namna ninavyoweza kujijengea uwezo wa kusoma vitabu kwa lengo la kupata maarifa tofauti tofauti. Kama inavyofahamika wengi katika watu ni wavivu wa kusoma habari za maana zenye kujenga uelewa.
Wakuu kwa mwenye uelewa naomba nijuzwe namna ninavyoweza kujijengea uwezo wa kusoma vitabu kwa lengo la kupata maarifa tofauti tofauti. Kama inavyofahamika wengi katika watu ni wavivu wa kusoma habari za maana zenye kujenga uelewa.
K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 7,755 Reaction score 11,737 Dec 19, 2024 #2 Pangilia mwenyewe unataka kusoma vinavyohusu Nini!
E Error 404 JF-Expert Member Joined Jun 21, 2022 Posts 2,151 Reaction score 3,493 Dec 19, 2024 #3 Amitriptyline said: Wakuu kwa mwenye uelewa naomba nijuzwe namna ninavyoweza kujijengea uwezo wa kusoma vitabu kwa lengo la kupata maarifa tofauti tofauti. Kama inavyofahamika wengi katika watu ni wavivu wa kusoma habari za maana zenye kujenga uelewa. Click to expand... Maarifa /uelewa upi/ yapi ya kitandani au ?
Amitriptyline said: Wakuu kwa mwenye uelewa naomba nijuzwe namna ninavyoweza kujijengea uwezo wa kusoma vitabu kwa lengo la kupata maarifa tofauti tofauti. Kama inavyofahamika wengi katika watu ni wavivu wa kusoma habari za maana zenye kujenga uelewa. Click to expand... Maarifa /uelewa upi/ yapi ya kitandani au ?
A Amitriptyline New Member Joined Sep 11, 2024 Posts 3 Reaction score 1 Dec 19, 2024 Thread starter #4 Kimwakaleli said: Pangilia mwenyewe unataka kusoma vinavyohusu Nini! Click to expand... Ni katika mambo mtambuka, husan saikolojia, Tehama, nk
Kimwakaleli said: Pangilia mwenyewe unataka kusoma vinavyohusu Nini! Click to expand... Ni katika mambo mtambuka, husan saikolojia, Tehama, nk
A Amitriptyline New Member Joined Sep 11, 2024 Posts 3 Reaction score 1 Dec 19, 2024 Thread starter #5 Error 404 said: Maarifa /uelewa upi/ yapi ya kitandani au ? Click to expand... Mambo mtambuka. Kinachotakiwa ni kujenga tabia ya kusoma vitabu ili kupata knowledge yeyote Ile kwa lengo la kukuza ufahamu wa mambo.
Error 404 said: Maarifa /uelewa upi/ yapi ya kitandani au ? Click to expand... Mambo mtambuka. Kinachotakiwa ni kujenga tabia ya kusoma vitabu ili kupata knowledge yeyote Ile kwa lengo la kukuza ufahamu wa mambo.