Namna ya kumfanya mpenzi wako wa kike akung'ang'anie

Namna ya kumfanya mpenzi wako wa kike akung'ang'anie

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Unaanza kwa kufanya yafuatayo:-​
  • Tenga siku nzima ya wewe kuwa na mpenzi wako​
  • Tafuta sehemu yenye utulivu, iwe ni kwako au nyumba ya wageni n.k​
  • Tafuta mafuta kwa ajili ya masaji​
  • Mkiwa ndani, anza kumpapasa taratibu kwa hisia​
  • Baada ya hapo alale kifudi fudi (alalie tumbo), uanze kumchua (massage)​
  • Mkande mwili mzima kwa ustadi mkubwa; mgongoni, shingoni, kiunoni, makalio, na miguu.​
  • Mwambie ageuke alalie mgongo​
  • Anza tena kumchua mwili wote kwa ustadi​
  • Cheza na kifua chake kwa umakini; mikononi, tumboni, mapajani na miguuni​
  • Nenda pale kati anza kupachezea kwa ufundi mkubwa, mpaka aanze kupiga makelele; atataka apelekewe moto kwa sababu ataanza kuutafuta ukuni; ila usimpelekee moto kwa hatua hii.​
  • Amia tena kwenye kifua ,tumboni, mapajani, miguuni; utamuona anatetemeka na mapigo ya moyo kuwa juu.​
  • Rudi tena pale kati upachezee, mpaka afikie mwisho, kama ni wa maji yataruka mengi.​
  • Baada ya hapo ataanza kucheka na kuona aibu;​
  • Anza kumpelekea moto uwezavyo​
Ukifanikiwa kuyafanya hayo yote, siku zote atakuwa anakutafuta kwa huduma.

 
1. Kutenga siku nzima = No Mishe (No hela)
2. Chumba cha Wageni (Lodge) Tsh 35,000/= na Usafiri to and fro Tsh 20,000/=
3. Mafuta ya Masaji Tsh 5,000/=
4. Kula vizuri Tsh 15,000 kila mmoja, jumla Tsh 30,000/=
5. Kunywa vizuri Tsh 10,000 kila mmoja jumla Tsh 20,000/=

Jumla Kuu 110,000/= Tsh.

Ukifanya ivo kila wiki, kwa mwezi ni mara 4 inakuja 440,000/= Tsh

Kwa mwaka ni Tsh 5,280,000/=

Hii hela ukinunua bajaji mpya kila siku kwa hesabu ya elfu 30 kwa mwaka (siku 365) unapata Tsh 10,950,000/=

Na bado bajaji inaweza inadumu ata miaka 3 mbele.

Natania bwana, mtoa mada upo sahihi. Ukifanya ivo mademu hawakuachi.
 
Back
Top Bottom