Namna ya kumfanya mpenzi wako wa kike akung'ang'anie

Namna ya kumfanya mpenzi wako wa kike akung'ang'anie

Wenzio walitoa figo na bado wakaachwa mkuu. Kwa hiyo jifunze tu kuwa kamwe binadamu hana asili ya kutosheka Ila huwa anaridhika

Na kuridhika ni uamuzi binafsi wa mtu kwa hiyo usijigangaishe kumridhisha. Just be yourself na mtu sahihi kwako ataridhika hata kwa tabasamu lako tu 🙏🏽🙏🏽
 
Mwanamke usimpende acha yeye akupende

Ukimpenda sana ndo unaanza kumpoteza
Unaweza usimpende, ila ukimpa hiyo huduma, yeye mwenyewe anakuwa anakutafuta kwa sababu anakuwa hapati sehemu nyingine
 
Utamfanyia yote hayo hata wiki mfululizo na nje atatoa mzigo kiroho Safi.
Akitoka nje hatopewa huduma kama yako, kwa hiyo kwenye akili anakuwa anakumbukia namna unavyomuandaa, kwa hiyo atarudi kukutunuku tena kwa gharama zake.​
 
Mara pa anashangaa nina mafuta, naulizwa ya nini haya hahahaa. Sijui najibu vipi jwa hiyo scenario.
 
Wenzio walitoa figo na bado wakaachwa mkuu. Kwa hiyo jifunze tu kuwa kamwe binadamu hana asili ya kutosheka Ila huwa anaridhika

Na kuridhika ni uamuzi binafsi wa mtu kwa hiyo usijigangaishe kumridhisha. Just be yourself na mtu sahihi kwako ataridhika hata kwa tabasamu lako tu 🙏🏽🙏🏽
Kwa kumfanyia kile kitendo, ni sawa na kumpa ulevi; atakuwa anatamani mara kwa mara afanyiwe vile
 
Unaanza kwa kufanya yafuatayo:-​
  • Tenga siku nzima ya wewe kuwa na mpenzi wako​
  • Tafuta sehemu yenye utulivu, iwe ni kwako au nyumba ya wageni n.k​
  • Tafuta mafuta kwa ajili ya masaji​
  • Mkiwa ndani, anza kumpapasa taratibu kwa hisia​
  • Baada ya hapo alale kifudi fudi (alalie tumbo), uanze kumchua (massage)​
  • Mkande mwili mzima kwa ustadi mkubwa; mgongoni, shingoni, kiunoni, makalio, na miguu.​
  • Mwambie ageuke alalie mgongo​
  • Anza tena kumchua mwili wote kwa ustadi​
  • Cheza na kifua chake kwa umakini; mikononi, tumboni, mapajani na miguuni​
  • Nenda pale kati anza kupachezea kwa ufundi mkubwa, mpaka aanze kupiga makelele; atataka apelekewe moto kwa sababu ataanza kuutafuta ukuni; ila usimpelekee moto kwa hatua hii.​
  • Amia tena kwenye kifua ,tumboni, mapajani, miguuni; utamuona anatetemeka na mapigo ya moyo kuwa juu.​
  • Rudi tena pale kati upachezee, mpaka afikie mwisho, kama ni wa maji yataruka mengi.​
  • Baada ya hapo ataanza kucheka na kuona aibu;​
  • Anza kumpelekea moto uwezavyo​
Ukifanikiwa kuyafanya hayo yote, siku zote atakuwa anakutafuta kwa huduma.

duh 🤔 wanaume wa Dar bana!!!

yaan mwanaume kamili nipoteze time na hiyo kitu kwa style hiyo, Aaawapi!!!
kwahiyo tatzo la pumzi ndio mnajufichia humo
 
Hao hawana hizo, jidanganyeni tuu😳😅. Unaweza kumpa kila kitu, wewe nunua hadi gari. Siku atampa mtu lift!raia wakampitia😅. Funga ndoa jenga familia. Vikichuja kila mtu asepee kivyake...
 
duh 🤔 wanaume wa Dar bana!!!

yaan mwanaume kamili nipoteze time na hiyo kitu kwa style hiyo, Aaawapi!!!
kwahiyo tatzo la pumzi ndio mnajufichia humo
Wanasema mapenzi ni sanaaa
 
Hao hawana hizo, jidanganyeni tuu😳😅. Unaweza kumpa kila kitu, wewe nunua hadi gari. Siku atampa mtu lift!raia wakampitia😅. Funga ndoa jenga familia. Vikichuja kila mtu asepee kivyake...
Kumfanyia hiki kitendo, inakuwa kama umempa ulevi; kwa sababu anakuwa anasikia raha; unaweza ukampa mali zote na kama hasikii raha ataenda kwa wanaoweza kumpa raha.
 
Back
Top Bottom