Namna ya kumfanya mpenzi wako wa kike akung'ang'anie

Wanaume Tutafute Hela.
Usipokuwa na hela ndio unataka kufanya mambo mengi yasiyo na tija.
-Utalamba kikojoleo
-Utalamba kinyeo
-Utasalitiwa na utamsamehe
-Utapewa Gono/Homa Ya Ini/U.T.I sugu na utakausha.

Niwakumbushe tu kuna vitu vinne havitosheki duniani mmojawapo mwanamke hatosheki na dudu.

Jipende.Jijali.
 
Tusubiri wabobezi wa mambo wanakuja kutoa ufafanuzi
 
Mapenzi ni kujitoa ufahamu ili kuteka hisia za mwenzako, na si kutoa pesa na kuvaa suti na tai tu.
Kwahiyo wewe haitafuti pesa. Bali unajifunza mapenzi ili upate mwanamke atakayekupa pesa za kutumia?

Maana huko ndo unapoelekea tofauti na mada yako.

You must know how to devise your time wisely.

Mwisho wa siku utazeeka kapuku.
 
Unajua haya maisha ukifikiria sana, mambo mengi ni ubatili.
Siku ya mwisho hutofukiwa na hizo hela wala majengo; ni wewe na kanguo kamoja tu ka bei nafuu.
Tujifunze kufurahisha nafsi pia, tusiwe watumwa wa kutafuta hela tu.​
 
Nani kakudanganya? Weee mpe hela tu. Mnunulie na kijigari, mfungulie na kikibiashara awe busy, hapo atadata
Hivi hata mkiachana anakuomba msamaha Mara kumikumi, Kama kajala alivyokuwa anaenda kuomba msamaha kwa konde walinzi walikuwa wanamrudisha maagizo kutoka kwa konde.
 
Tatizo wakati unamfanyia hayo yote anawaza kodi, hela ya kula, hela ya mchezo nk.
Hivyo hawezi kuenjoy labda atajikuta anasinzia tu
Mie naona hapo point ya kwanza ungeweka hela halafu point ya pili ukaweka hela nabya tatu hela
 
Inategemea .. kama una njuruku ama lah.
 
Hivi hata mkiachana anakuomba msamaha Mara kumikumi, Kama kajala alivyokuwa anaenda kuomba msamaha kwa konde walinzi walikuwa wanamrudisha maagizo kutoka kwa konde.
Wa hivyo, ujue njaa ndio inamsumbua
 
[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Tatizo wakati unamfanyia hayo yote anawaza kodi, hela ya kula, hela ya mchezo nk.
Hivyo hawezi kuenjoy labda atajikuta anasinzia tu
Mie naona hapo point ya kwanza ungeweka hela halafu point ya pili ukaweka hela nabya tatu hela
Wa namna hiyo, njaa itakuwa imewaathiri mpaka ubongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…