Namna ya kumfanya mpenzi wako wa kike akung'ang'anie

Natania bwana, mtoa mada upo sahihi. Ukifanya ivo mademu hawakuachi.

Hapa umemalizaa kinaa Sanaa Mzee baba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Natania bwana, mtoa mada upo sahihi. Ukifanya ivo mademu hawakuachi.

Hapa umemalizaa kinaa Sanaa Mzee baba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa wanaotaka hela, watakuwa na njaa kali
 
Apa sasa umejua kudanganywa yakupasa upewe tuzo
 
I li iweje?
30000 yake
Usafiri vyakula+vyombo 70k,
Tunakula vya mtaani tu ukikipa msosi unatafuna mbususu usiku kucha.
Kuna viwili vilikataa hata kutoka home.
Vilitaka vihamie kabisa
 
I li iweje?
30000 yake
Usafiri vyakula+vyombo 70k,
Tunakula vya mtaani tu ukikipa msosi unatafuna mbususu usiku kucha.
Kuna viwili vilikataa hata kutoka home.
Vinstskatt vihamie kabisa
Hawa viumbe wanatofautiana uzuri, yupo yule anayetesa nafsi yako na uko tayari ata kumuonga vyeti vyako n.k, huyo ndio umfanyie hayo maufundi.
 
Tutafute hela jamani...dah!
Tuzitafute kwa kiasi, pia tukumbuke kulima ili tule kile tunachokizalisha; tofauti na hapo tutakuwa watumwa wakutafuta karatasi ili kununua chakula.
 
Safi sana una akili sana wewe. wengine wanawaza ngono tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…