Namna ya kumfanya mpenzi wako wa kike akung'ang'anie

Crap
 
Tafuteni hela
Ni jawabu la mambo yote .


Hakuna kitu kinaleta raha moyoni kama kupewa hela na mtu unayempenda.
Maisha yana mambo mengi, kutafuta pesa ni mojawapo na hatuwezi kuacha kuzisaka. Ila mahabat Mungu katupa bure ili tuifurahie dunia, baada ya kuzitafuta nizifanyie nini kama hata kufurahi na baby wangu siwezi?
 


Kwa wale wanaotaka usumbufu wa wanawake, aning'ang'anie wa nini?
 
Mpende

Mjali

Mtunze

Mpe muda

Mpe hela

mnyandue mpaka akusukume

Mfanye awe busy



Nb: WANAWAKE SIYO WASUMBUFU NI MIHEMKO TUU INAWASUMBUA KUTOKANA NA HISIA ZAO
 
Mapenzi ni ufundi, sio kwa haraka haraka mnakimbilia kifo cha mende
Elekezeni ufundi wenu na nguvu zenu kwenye papuchi za wanawake mkidhani wataridhika. pamoja na ufundi wenu bado kuna fala mmoja tu hana makeke wala huo ufundi lakin anakutombea fresh tu na mkeo kakolea

Kuhangaika kutumia muda wako kumridhisha mwanamke ni kujipotezea muda wako bure hawa viumbe huwa hawaelewi wanataka nini utamfanyia hivyo vyote unavyo dhani wewe ataridhika lakini bado hato tosheka atataka vikubwa zaid
 

[emoji23][emoji23][emoji23]
Mtoa mada yuko sahihi. Ila wewe uko sahihi zaidi.
 
Pesa inafanya awe anaigiza kwenye mahusiano, ila kwa upande mwingine pesa hiyo hiyo unayompa, anaenda kumpa mtu mwingine anayejua kucheza vizuri na hisia zake.
Mahusiano yanahitaji uhuni na si pesa tu; pesa inanunua maigizo tu.​
 
Siyo lazima iwe hivyo mkuu inategemea.

Binadamu tuko tofauti sana baina yetu.

Cha muhimu kwanza ufahamu, unamkojoza?

Mengine mbwembwe tu mkuu!

Massage na rubbing the clitoris unaona kitu cha ajabu sana as if mapenzi yameanza leoπŸ˜„
Mapenzi ni kujitoa ufahamu ili kuteka hisia za mwenzako, na si kutoa pesa na kuvaa suti na tai tu.
 
Hakuna kitu tunakosea kwa mwanaume kujifanya mtaalam wa feelings za wanawake. Wewe eleza za jinsi yako na waache wao waeleze feelings zao. Ingawa ni hatari kugenelalise
Vitabu vya sayansi ndio vinasema hivyo
 
Huo muda ukiutumia kutafuta pesa utafika mbali,hawana shukrani hawa mbwa,fanya yote ila akianua anachapwa ns house boy wako

Kwanza kwa nini aninganganie ,hana kwao?
Anatakiwa akiwa na wewe ajione sio kitu kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…