Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #121
Kuhusu mada; au hujawahi kupata hiyo huduma?Kuhusu??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuhusu mada; au hujawahi kupata hiyo huduma?Kuhusu??
Upotevu wa akili, mali na nguvu. Sex is overrated mapenzi is overrated.....Unakuwa unapata huduma muda wote unaotaka
Sijawahi.Kuhusu mada; au hujawahi kupata hiyo huduma?
Tatizo pesa hainunui hisia; ukiwa umeshiba unakuwa unakumbukia ile huduma tukuka uliyoipata."Na pesa ni jawabu la mambo yote"
Maneno ya muhubiri.
Ha ha ha ha [emoji3]Kimoyo moyo wameanza kubadilika 😀 😀
Jaribu kwenda kupata huduma ofisi za massage; hapo utapata cha kujifunzaWengine hatujui hata kufanya massage, unashaurije hapo!
Karibu, gharama ni ndogo tuSijawahi.
Sasa pesa unatafuta zanini matumizi si ndiyo hayo! Au matumizi nikujenga nyumba na kununua gari tuu?1. Kutenga siku nzima = No Mishe (No hela)
2. Chumba cha Wageni (Lodge) Tsh 35,000/= na Usafiri to and fro Tsh 20,000/=
3. Mafuta ya Masaji Tsh 5,000/...
Karibu, gharama ni ndogo tu
Inabidi usimuacheNilimpiga hiyo yule single maza. Kuja kumpa dyudyu naona anatoa machozi. Nikajua kuna msiba,kumbe romance imemuingia anasema nilikuwa wapi mimi.
Ndio ile miezi 6. 🤔Tunasubiri mvua zinyeshe
Jua kali sanaNdio ile miezi 6. 🤔
Mambo mengine ni kuyaacha tu
KufundishaDarasa la nini sasa 😀 😀
Kuna watu wana pesa lakini wanateseka nazo"Na pesa ni jawabu la mambo yote"
Maneno ya muhubiri.
We ni kupata huduma tuKufundisha
Wanatakiwa wajue pesa si kila kituKuna watu wana pesa lakini wanateseka nazo