Namna ya kumfanya mpenzi wako wa kike akung'ang'anie

Namna ya kumfanya mpenzi wako wa kike akung'ang'anie

Ukijikita huko hata kazi hataweza kufanya.

Siyo kila mtu anatumia jitihada zote hizo kumkojoza pisi.

Ukitumia nguvu nyingi kumpliz mwanamke utakuwa mtumwa wa mapenzi.

Kuna wengine hatutaki kung’ang’aniwa mkuu😄
Tatizo akija kukutana na muhuni, atakuwa anampatia yote pamoja na fedha zako
 
1. Kutenga siku nzima = No Mishe (No hela)
2. Chumba cha Wageni (Lodge) Tsh 35,000/= na Usafiri to and fro Tsh 20,000/=
3. Mafuta ya Masaji Tsh 5,000/=
4. Kula vizuri Tsh 15,000 kila mmoja, jumla Tsh 30,000/=
5. Kunywa vizuri Tsh 10,000 kila mmoja jumla Tsh 20,000/=

Jumla Kuu 110,000/= Tsh.

Ukifanya ivo kila wiki, kwa mwezi ni mara 4 inakuja 440,000/= Tsh

Kwa mwaka ni Tsh 5,280,000/=

Hii hela ukinunua bajaji mpya kila siku kwa hesabu ya elfu 30 kwa mwaka (siku 365) unapata Tsh 10,950,000/=

Na bado bajaji inaweza inadumu ata miaka 3 mbele.

Natania bwana, mtoa mada upo sahihi. Ukifanya ivo mademu hawakuachi.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16],
 
Back
Top Bottom