Uchaguzi 2020 Namna ya kumpigia kura Mgombea Urais Tundu Lissu

Lissu angegombea ubunge ningempa kura yangu asubuhi tu Ila kwa ngazi ya urais hata Kama Angekuwa anashindana na kivuli, kura yangu ningekipatia kivuli.

NOTE: huu Ni mtazamo Wangu na simulazimishi mtu yeyote aufate.
Mimi NAUFUATA!
 
sawa ndugu na utakuwa umewakomoa wanao kama sio wajukuu zako, upo vyema sana mwenyekiti wetu wa ccm nyambwela temeke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…