Alvin A.
JF-Expert Member
- Oct 14, 2016
- 2,865
- 3,633
Habari wadau,
Leo naleta hii nondo makinikeni
1. Anamkomoa mumewe
2. Analala mapema kabla ya mumewe
3. Anachelewa kuamka kabla ya mumewe
4. Mbishi, anahisi kuonewa muda wote
5. Anadhani kumnyima mumewe unyumba ni kumkomoa
6. Mmekaa sebuleni anahadithia tu mafanikio ya familia za wa2 wakati ye ndo kigezo cha kero.
7. Hataki kuzungumzia mshahara wake
8. We unajenga family ye anajenga kwao
9. Mkikaa 2 anaanza umbea kuponda ndugu na majirani
10. Haridhiki (mwanaume unatoa jasho ila ye anakudiscourage wakati ye akishuka kwenye kochi anakaa kwenye jamvi na baadaye anelekea saloon kupiga umbea kuhusu mama Joyce kafumaniwa gesti
11. Nyumbani housegirl hapumziki
12. Anajali ajira yake; hataki kufuatiliwa mambo yake
13. Anakera sana, cwezi kuacha kazi yangu hata km anaumwa, kajikata kucha halafu anadai apelekwe Agha Khan au India.
NOTE: Akikutana na mwanaume kichwa ngumu anamrudisha kwao ameshazalishwa watoto 3, anaenda kwa mwingine anaongezewa watoto 2, anazinguliwa anapigwa toto lingine mmoja mtaani, unakuta kazaa na kila familia mtaani baadaye anaishi ghetto au kwao.
Kama kuna nyengine we unajuwa tiririka hapa chini