Organ hizo hazihitaji hsta Kidogo hizo Vyakula Ili Viweze kufanya kazi Mkuu....
Ukitaka Tujadiliane niambie tutajadiliana Scientifically tukihusisha Physiology na Pathology ya Hizo Vital Organs..
So its Un-Neccessary.. Na mchango wake ni Negligib
Organ hizo hazihitaji hsta Kidogo hizo Vyakula Ili Viweze kufanya kazi Mkuu....
Ukitaka Tujadiliane niambie tutajadiliana Scientifically tukihusisha Physiology na Pathology ya Hizo Vital Organs..
So its Un-Neccessary.. Na mchango wake ni Negligible
Heshima yako ndugu yangu: Salaam sana.
Sumu ya mwili ki sayansi hujulikana kama " Free radicals"
Chembe hai za mwili huvunja vunja chakula tunachokula ili kupata NISHATI lakini pia ili kuendeleza uhai wa mwili.
Uchakataji huo wa chakula husaidiwa na hewa ya oksijeni tunayoivuta ndani kwa njia ya pua. Naweza kusema kwa lugha nyepesi kwamba hewa ya oksijeni ni RUNGU la kuvunja vunja chakula tunachokula.
Pamoja na umuhimu huo wa hewa ya oksijeni, baada ya tukio la kuvunja chakula hewa hii nayo huvunjika katika vipande vipande. Vipande hivi huitwa Free radicals( mfano hydrogen peroxide, reactive oxygen species, superoxide).
Uzalishaji wa free radicals huongezeka kadri umri unavyosonga, mtu anapokuwa na msongo wa mawazo au stress, ulaji mbaya wa vyakula , kutofanya mazoezi( Zingatia sana hapa)
Free radicals hizi( vipande vya hewa ya oksijeni) vinaweza kushambulia kinasaba cha chembe hai (DNA) na kusababisha saratani , pia vyaweza kushambulia ute wa nje wa chembe hai ( cell membrane...membrane peroxidation) na kuharakisha mwili kuzeeka, magonjwa ya kisukari endapo kongosho litashambuliwa, magonjwa ya moyo, ubongo( dementia, ugonjwa wa kusahau) nk.
NASISITIZA TENA HIVI;
Unapoamka asubuhi kunywa kinywaji chenye vitamin C na ukijani. ..mfano , limau , mdalasini, iriki , tangawizi , beetroot , babyspinach smoothie, tango smoothie, smoothie ya mchicha wa kienyeji, mbegu zenye zinc nyingi kama za maboga nk. kunywa ukiwa na empty stomach( nitaelezea siku nyingine). Usiweke sukari.
Njia nyingine ya kuondoa sumu hizi ni mazoezi ya wastani( moderate exercise) na kulala vizuri. Hapa mazoezi makali( strenuous exercise) nayo huzalisha sumu ( cytokines like interleukin 6).
So fanya mazoezi ya wastani.
Kwa leo nikomee hapa.Kama umejiandaa kujifunza utanielewa,vinginevyo asubuhi njema!!