Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole Sana Asigwa Kwa Tatizo La Kupiga Punyeto Muda Mrefu, Hatimaye Umepata Ufumbuzi Na Kuwashauri Wapiga Punyeto Wote
nitajaribu,nikifanikiwa kuacha hiki kitabia haki tena natoka kimaisha,hii tabia inanirudisha sana nyuma kimaendeleo
Safi sana ndugu asigwaa
Nimeipenda hii zaidi " amoneyazan wewe ni mtu mwenye uwezo mkubwa kudhibiti hisia zako, za kufanya.... na sio mazingira ndio yanayokuamuliaa kufanyaa...."
Big up
usichoke mkuu weka na sample ya kuacha kupenda ngono na ku over spend kila ukipata salary maana akili inakukaa sawa pale ukienda kwa atm unakutana na message ya insufficient fund!!!
tabia gani mbona husemi chabo au?
Halafu ni darasa free ambalo wala halikinzani na mambo ya kiroho ya mtu. Hakuna cha uchawi, madawa wala nini bali ni uwezo wa nguvu za maneno.Asante Asigwa nimejifunza kitu cha maana sana na nimekuelewa, hata spritually tunaambiwa kwa maneno yetu tunaumba hivyo nikikonekti na hili darsa ulilotoa hapa ni very realistic, Nitafanyia kazi.
Ha ha ha ha...Pole Sana Asigwa Kwa Tatizo La Kupiga Punyeto Muda Mrefu, Hatimaye Umepata Ufumbuzi Na Kuwashauri Wapiga Punyeto Wote
Ku Visualize nilijaribu sana na kuna wakati nilii-master vizuri sana sana tatizo likawa, kutokana na umri kuwa mdogo kwa wakati ule na maisha ya chuo nilikua ninavisualize mambo ya zinaa tupu, na cha ajabu nilibadilika na kuwa mtu wa zinaa tupu, uchafu nilioufanya ulinilzimisha kuiacha technique ile nikageukia kwenye Mirror technique.Mojawapo ya mabandiko ya muhimu kabisa niliyowahi kukutana nayo hapa JF. Asante mkuu na Mungu Akubariki kwa kuamua kushea haya maarifa.
Hapa juzi juzi nilihudhuria semina ya self empowerment na walikuwa wanasisitiza sana ku-visualize future yako na kuiandika ikibidi na michoro juu. Andiko lako hili limekamilisha kila kitu.