Namna ya kuondoa Tabia mbovu usiyoitaka

Namna ya kuondoa Tabia mbovu usiyoitaka

Halafu ni darasa free ambalo wala halikinzani na mambo ya kiroho ya mtu. Hakuna cha uchawi, madawa wala nini bali ni uwezo wa nguvu za maneno.

Nina tabia moja hapa nimehangaika nayo wee nikiweza kuiacha yaani miaka mitano ijayo naweza kuwa milionea tena wa dola. Mungu Nisaidie!
Safi sana mkuu SYB...

Kama unaweza kutupa mrejesho itapendeza
 
Chief...!

This is extreme powerful. Nimefanya kwa mara ya kwanza naskia kama nafreeze hiv....nimejaribu kufanya kwa tabia zangu flan nataka zikome...ebwanaa .....sijui kama zitakoma ila meseji inazama ndani kabsa ya ubongo kila nikijisikiliza.

Kwa ruhusa yako naomba nije pm kwa msaada zaidi.

Thank you for sharing.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chief...!

This is extreme powerful. Nimefanya kwa mara ya kwanza naskia kama nafreeze hiv....nimejaribu kufanya kwa tabia zangu flan nataka zikome...ebwanaa .....sijui kama zitakoma ila meseji inazama ndani kabsa ya ubongo kila nikijisikiliza.

Kwa ruhusa yako naomba nije pm kwa msaada zaidi.

Thank you for sharing.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitumia tape recorder??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli swala la subconcious lipo na linatokea..... nina rafiki yangu wa damu... wakati tunajuana hapendi kutumia tomato souce..... kadri tulivyokuwa pamoja sasa ni miaka 8, hata mimi nimejikuta siipendi kabisa.....

mimi napenda sana misambwanda flan iv amaizing na yeye nimemuambukiza hataki kuskia kuhusu viportable. kwa iyo saivi tunashindua tu fungu mbili za masalo.

😀😀
 
Asante sana asigwa kwa mada nzuri ila mara nyingi kwenye hizo affirmation una shauriwa kufanya kinyume chake kwa mfano badala ya ku sema mimi siyo mwoga unatakiwa kusema mimi ni jasiri au tafuta neno lingine lakini usirudie kutamka mwoga, punyeto pombe nk .. Kwani subconscios mind itakuwa inaskia muoga.. Muoga.. Muoga. (kwa kuwa hilo ndilo dominant hii subconscious mind haina uwezo wa kupambanua inachukuaga mambo yote kama ni real ndiyo maana ukiwa unaota unakimbiza na mashetani yenyewe inachukulia ni kweli utakuta mapigo ya moyo yanaenda mbio,jasho linakutoka nk )

Wanashauri pia unapoacha tabia flani tafuta tabia nyingine kinyume chake ya kuireplace badala ya pombe amia kwenye maziwa, fresh fruit juice, au hata soda.

Subconscious mind siku zote ni taswira (imagnation) na conscious ina controol (will) au nia. Wanasema when imagnation is stronger than will imagnation always win. Hivyo unashauriwa ubalanceshe kati ya image yako na will visiwe vinaendana kinyume. Ndiyo maana mpigaji wapunyeto hawezi fanya bila ya kuvuta taswira picha za ngono..
Hivyo nina maanisha kama unataka kuacha uraibu wowote inatakiwa ile nia ya kuacha iendane na picha mbaya ya lile jambo unalotaka kuacha au picha nzuri ya vile ambavyo unafikiri ukiacha utakuwa.. Waswahili wanasema ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya.. Hivi mtu anayeita bangi au ugoro dawa au pombe juice kali. anaweza kuacha kweli? ni wazi hawezi kuacha. Hivyo njia nzuri niku itafutia jina baya na jina baya utalipata kwenye madhara ya hicho kitu unachotaka kuacha. Mtu mmoja akaita sigara cancer stick au kijiti cha kansa.. Hivi ni kwanini watu wanajua kabisa kwamba ni kivuta sigara nitapata kansa au nikinywa pombe namaliza pesa na chelewa kulala, au naharibu mwili lakini bado unaendelea kuvuta au kunywa pombe.. Ni kwa kuwa vitu vingi tunavyofanya ni kwasababu ya kupata starehe au kuepuka maumivu.. Hivyo mara nyingi watu waliobobea kwenye jambo flani inafikaga kipindi inakuwa anafanya jambo flani siyo kwasabu ya kupata tena starehe bali ni kwaajili ya kuepuka maumivu.. Sasa ikishafikia hatua hiyo unahitaji...Rudi kwenye wil na imagnation naishia hapa kwanza kwa sasa
Nimekuelewa sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro ungetumia njia km hizi kuhamasisha wanafunzi kujisomea mitihani ya necta asinge.feli mtu, ni njia rahisi kwa kujifunzia kusoma
 
Mkuu wangu kuna nyuzi humu ukizisoma utajiona kama umechelewa sana kujua nguvu uliyonayo maana inawezekana una nguvu za ajabu sana sema tu hujajitambua bado...nitakutumia links za nyuzi kadhaa ambazo zitakufunua sana na kujielewa wewe ni nani.
Mkuu naomba na mie nitumie hizo links nijitambue. Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom