granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 3,249
- 7,948
mkuu ntumie hzo linki maana naona hata hii imeanza kuleta effects
Paji la uso na siri ya jicho la tatu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu ntumie hzo linki maana naona hata hii imeanza kuleta effects
mkuu ntumie hzo linki maana naona hata hii imeanza kuleta effects
Safi sana mkuu SYB...Halafu ni darasa free ambalo wala halikinzani na mambo ya kiroho ya mtu. Hakuna cha uchawi, madawa wala nini bali ni uwezo wa nguvu za maneno.
Nina tabia moja hapa nimehangaika nayo wee nikiweza kuiacha yaani miaka mitano ijayo naweza kuwa milionea tena wa dola. Mungu Nisaidie!
Ulitumia tape recorder??Chief...!
This is extreme powerful. Nimefanya kwa mara ya kwanza naskia kama nafreeze hiv....nimejaribu kufanya kwa tabia zangu flan nataka zikome...ebwanaa .....sijui kama zitakoma ila meseji inazama ndani kabsa ya ubongo kila nikijisikiliza.
Kwa ruhusa yako naomba nije pm kwa msaada zaidi.
Thank you for sharing.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa sana mkuuAsante sana asigwa kwa mada nzuri ila mara nyingi kwenye hizo affirmation una shauriwa kufanya kinyume chake kwa mfano badala ya ku sema mimi siyo mwoga unatakiwa kusema mimi ni jasiri au tafuta neno lingine lakini usirudie kutamka mwoga, punyeto pombe nk .. Kwani subconscios mind itakuwa inaskia muoga.. Muoga.. Muoga. (kwa kuwa hilo ndilo dominant hii subconscious mind haina uwezo wa kupambanua inachukuaga mambo yote kama ni real ndiyo maana ukiwa unaota unakimbiza na mashetani yenyewe inachukulia ni kweli utakuta mapigo ya moyo yanaenda mbio,jasho linakutoka nk )
Wanashauri pia unapoacha tabia flani tafuta tabia nyingine kinyume chake ya kuireplace badala ya pombe amia kwenye maziwa, fresh fruit juice, au hata soda.
Subconscious mind siku zote ni taswira (imagnation) na conscious ina controol (will) au nia. Wanasema when imagnation is stronger than will imagnation always win. Hivyo unashauriwa ubalanceshe kati ya image yako na will visiwe vinaendana kinyume. Ndiyo maana mpigaji wapunyeto hawezi fanya bila ya kuvuta taswira picha za ngono..
Hivyo nina maanisha kama unataka kuacha uraibu wowote inatakiwa ile nia ya kuacha iendane na picha mbaya ya lile jambo unalotaka kuacha au picha nzuri ya vile ambavyo unafikiri ukiacha utakuwa.. Waswahili wanasema ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya.. Hivi mtu anayeita bangi au ugoro dawa au pombe juice kali. anaweza kuacha kweli? ni wazi hawezi kuacha. Hivyo njia nzuri niku itafutia jina baya na jina baya utalipata kwenye madhara ya hicho kitu unachotaka kuacha. Mtu mmoja akaita sigara cancer stick au kijiti cha kansa.. Hivi ni kwanini watu wanajua kabisa kwamba ni kivuta sigara nitapata kansa au nikinywa pombe namaliza pesa na chelewa kulala, au naharibu mwili lakini bado unaendelea kuvuta au kunywa pombe.. Ni kwa kuwa vitu vingi tunavyofanya ni kwasababu ya kupata starehe au kuepuka maumivu.. Hivyo mara nyingi watu waliobobea kwenye jambo flani inafikaga kipindi inakuwa anafanya jambo flani siyo kwasabu ya kupata tena starehe bali ni kwaajili ya kuepuka maumivu.. Sasa ikishafikia hatua hiyo unahitaji...Rudi kwenye wil na imagnation naishia hapa kwanza kwa sasa
Akili za kipimbi hizi.Damu ya Yesu ndo inatibu na kuondoa yote mabaya
Sometimes YES sometimes NO! Umepewa "Life Jacket" unaambiwa ruka boti hii inazama sio muda, we unasema " Yesu ataniokoa"
Mkuu naomba na mie nitumie hizo links nijitambue. Natanguliza shukraniMkuu wangu kuna nyuzi humu ukizisoma utajiona kama umechelewa sana kujua nguvu uliyonayo maana inawezekana una nguvu za ajabu sana sema tu hujajitambua bado...nitakutumia links za nyuzi kadhaa ambazo zitakufunua sana na kujielewa wewe ni nani.
Na mimi naomba unitumie hizo linksMkuu wangu kuna nyuzi humu ukizisoma utajiona kama umechelewa sana kujua nguvu uliyonayo maana inawezekana una nguvu za ajabu sana sema tu hujajitambua bado...nitakutumia links za nyuzi kadhaa ambazo zitakufunua sana na kujielewa wewe ni nani.