Namna ya kuondoa Tabia mbovu usiyoitaka

Safi sana ndugu asigwaa
Nimeipenda hii zaidi " amoneyazan wewe ni mtu mwenye uwezo mkubwa kudhibiti hisia zako, za kufanya.... na sio mazingira ndio yanayokuamuliaa kufanyaa...."

Big up
 
Pole Sana Asigwa Kwa Tatizo La Kupiga Punyeto Muda Mrefu, Hatimaye Umepata Ufumbuzi Na Kuwashauri Wapiga Punyeto Wote
 
usichoke mkuu weka na sample ya kuacha kupenda ngono na ku over spend kila ukipata salary maana akili inakukaa sawa pale ukienda kwa atm unakutana na message ya insufficient fund!!!
 
Take it serious bhana! Kutuelimisha sio kwamba analog tatz hili hongeraASIGWA
 
Pole Sana Asigwa Kwa Tatizo La Kupiga Punyeto Muda Mrefu, Hatimaye Umepata Ufumbuzi Na Kuwashauri Wapiga Punyeto Wote

Wala asigwa hana tatizo hilo bali ametoa mfano ili watu wamuelewe vyema
 
Last edited by a moderator:
Safi sana ndugu asigwaa
Nimeipenda hii zaidi " amoneyazan wewe ni mtu mwenye uwezo mkubwa kudhibiti hisia zako, za kufanya.... na sio mazingira ndio yanayokuamuliaa kufanyaa...."

Big up

rule your mind or it will rule you
 
usichoke mkuu weka na sample ya kuacha kupenda ngono na ku over spend kila ukipata salary maana akili inakukaa sawa pale ukienda kwa atm unakutana na message ya insufficient fund!!!

kweli kabisa! daah mi inaniuma balaa
 
tabia gani mbona husemi chabo au?

kumbe chabo inarudisha nyuma maendeleo? uwe unatuliza mshono! acha kujifanya unajua kuparamia tu kujibu watu! au ndio hicho cha ukucha? tuliza kipele kama hii mada haikufai unaweza kupita !
 
Asante Asigwa nimejifunza kitu cha maana sana na nimekuelewa, hata spritually tunaambiwa kwa maneno yetu tunaumba hivyo nikikonekti na hili darsa ulilotoa hapa ni very realistic, Nitafanyia kazi.
Halafu ni darasa free ambalo wala halikinzani na mambo ya kiroho ya mtu. Hakuna cha uchawi, madawa wala nini bali ni uwezo wa nguvu za maneno.

Nina tabia moja hapa nimehangaika nayo wee nikiweza kuiacha yaani miaka mitano ijayo naweza kuwa milionea tena wa dola. Mungu Nisaidie!
 
Mojawapo ya mabandiko ya muhimu kabisa niliyowahi kukutana nayo hapa JF. Asante mkuu na Mungu Akubariki kwa kuamua kushea haya maarifa.

Hapa juzi juzi nilihudhuria semina ya self empowerment na walikuwa wanasisitiza sana ku-visualize future yako na kuiandika ikibidi na michoro juu. Andiko lako hili limekamilisha kila kitu.
 
Umenikamata mkuu ila sidhani kama ushauri wakobubatosha kunitoa hapa
 
Shimba YA BUYENZE umeshaanza kufanyia kazi?Mungu atusaidie tuyafanyie kazi naamini kama ulivyosema nguvu ya maneno ni kubwa mno italeta utofauti tunao uhitaji. asigwa mbona umepotea tena? mshana jr na Pasco mnaweza kusema chochote katika hili?
 
Last edited by a moderator:
Ku Visualize nilijaribu sana na kuna wakati nilii-master vizuri sana sana tatizo likawa, kutokana na umri kuwa mdogo kwa wakati ule na maisha ya chuo nilikua ninavisualize mambo ya zinaa tupu, na cha ajabu nilibadilika na kuwa mtu wa zinaa tupu, uchafu nilioufanya ulinilzimisha kuiacha technique ile nikageukia kwenye Mirror technique.

Niliwahi kuweka lengo la kuingiza laki 4 kwa mwezi wakati bado natafuta kazi mara baada ya kumaliza chuo, na nikaweza.

Ni simple technique sana japo inahitaji commitment sana, ila hii ya tape recorder ni nzuri mno na rahisi zaidi kuliko zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…