return of cs
Senior Member
- Jul 11, 2015
- 130
- 23
Utumiapo malimao ma2; carote2; tangawizi2; Na vitunguu swaumu viwili ukavisaga kwa pamoja kwnye blenda na kuhakiksha zinatoka glass 3 then unywe mara 3 kwa siku kwa muda wa siku tatu. Kufanya hivyo utafankiwa kuongeza nguvu za uume wako kufanikiwa kwenda umbali mrefu zaidi.
NB: Hiyo juice ikilala usiitumie tena pia ukifankiwa kupata mzizi wa mti uitwao lisubata ukachemsha na kuchanganya na hiyo juice itakua bora zaidi, ukikosa pia usifadhaike fanya kama nilivoelekeza juu utafanikiwa100%.
Pia kwa huo muda wa siku3 hutakiwi kufanya ngono.