Namna ya kuongeza nguvu za kiume kwa njia ya matunda

Vipi kaka yangu nawe una hilo yatizo?

Khaa umeishanibamba tayari!!! mi niko poa tu sista, watu hawajitunzi ndo maana, au usikute sijijui tu, hebu uje unipelezee kwa wifi yako basi
 

dawa inaonekana vizuri ila vipimo vinachanganya mkuu, eg swaumu ,karot,tangawizi ukubwa wa kiasi gan?,,
 
mi naona unafanya matangazo ya biashara yako tu
 
Wakuu kuna mtu anasumbuliwa sana na kisukari kwa mwenye kujuwa dawa ya kweli inahitajika.
 
Reactions: fix
1.Njia nyingine simple brend vitunguu maji na Tangawizi then chuja kwenye glasi na weka asali..thanks me later

2.Tafuna vitunguu swaumu pamoja na asali mdomoni then kula na ndizi mbivu .after few hours kama ilikuwa imelala utaona imepata moto.thanks me later

3.brend tikiti maji pamoja na vitunguu swaumu na tangawizi...hiyo juice ni balaa.

Note : unavobrend weka maji kiasi na uwiano mzuri wa hizo items.
 

Mkuu maji unaweka kwenye namba 1 tu au na hii ya tikiti pia?
 

pia kama unaweza kutupa makisio ya viwango vya vitunguu maji na vitunguu swaumu katika hayo matumizi ikiwa una lengo la kupata matumizi ya glass moja.

Na je hii ni ya matumizi ya kila siku ama?
 

huo mti Lisubata kwa lugha ya kiswahili unaitwaje? nikitaka kwenda kwenye maduka ya dawa asili hapa Dar watalielewa hilo jina?
 

Matibabu uliyoandika wewe ni kwaajili ya kuboost uume kwa siku mbili.

Lakini sio tiba ya kudumu

Mwenzio anazungumzia Dawa ya kudumu.
Mishipa ya Uume kukaza.
Kujisikia Hamu ya tendo la ndoa.
Uume kuwa Mkubwa.
Kuchelewa kumwaga wazungu.
Na kupiga Round hadi tatu
 
Nguvu za kiume ni tatizo sababu kila mmoja anaweza kutoa tiba hata bila kuzingatia kiasi.
Mtu akinywa huu mchanganyiko kama ana vidonda vya tumbo atajuata.
 
Nguvu za kiume ni tatizo sababu kila mmoja anaweza kutoa tiba hata bila kuzingatia kiasi.
Mtu akinywa huu mchanganyiko kama ana vidonda vya tumbo atajuata.

Usitishie watu kaka.

Tafuta faida za Tangawizi
Tafuta faida za vitunguu swaumu.

Ant-infrimantory
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…