Namna ya kuongeza nguvu za kiume kwa njia ya matunda


mkuu wewe umejaribu hiyo dawa?
 
naweza pata picha ya huo mti mkuu?

Huo mti unapatikana sana kanda ya ziwa.

Mikoa ya Mwanza , Geita na Shinyanga mti unaota kila pahala.

Kama una watu hiyo mikoa (wasukuma) watakusaidia ugapata kwa haraka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…