Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndevu gani/za wapi?Wakuu msaada ni home remedies gani naweza tumia ili kuota ndevu haraka. Mwenye kujua anisaidie please ..
It's not scientifically proven ..Chukua topazi kwangua kidevu kila baada ya siku mbili mayokeo utayapata
Huna ndevu hata kidogo?
Ndo zinaanza anza nahitaji namna ya kuboost ziote harakaHuna ndevu hata kidogo?
Inategemea ..Zama hizi bado uhitaji wa ndevu upo kweli
naona katangazo flani kwa mbaaliI just want a mature look, naonekana dogo sana ..
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
Ukihitaji sayansi yakubidi urudi kwenye hormone zako cheza nazo hizo au genes za ukoo wenu zikoje babu na babu mkuu wote walikuwa na videvu laini wewe unataka upake kimiminika fulani uote ndevu? How is that possible genetically?
Ata kambale anazo ..Mwanaume pesa na kusimamisha dushe..ndevu hata mbuzi anazo.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Katangazo gani ?? ..naona katangazo flani kwa mbaali