Namna ya kuota ndevu haraka

Namna ya kuota ndevu haraka

XII Tz

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2020
Posts
4,345
Reaction score
7,076
Wakuu msaada ni home remedies gani naweza tumia ili kuota ndevu haraka. Mwenye kujua anisaidie please.

1625747782768.png

 
It's not scientifically proven ..

Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
Ukihitaji sayansi yakubidi urudi kwenye hormone zako cheza nazo hizo au genes za ukoo wenu zikoje babu na babu mkuu wote walikuwa na videvu laini wewe unataka upake kimiminika fulani uote ndevu? How is that possible genetically?
 
Back
Top Bottom