Namna ya kuota ndevu haraka

Namna ya kuota ndevu haraka

Hormones na vinasaba vinahusika katika hili ila Kwa umri wako endelea kuwa mvumilivu kidogo at least 23-25 ndipo unaweza kuingiwa shaka.

Kama unatabia ya kuzama chumvini acha.!
 
Hormones na vinasaba vinahusika katika hili ila Kwa umri wako endelea kuwa mvumilivu kidogo at least 23-25 ndipo unaweza kuingiwa shaka.

Kama unatabia ya kuzama chumvini acha.!
[emoji23][emoji23] chumvini kuna nini kwani mkuu ?? ..

Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
 
wakuu mi nna miaka 23 lakin ndevu sina.au kwa kuwa nazama sana chumvini
 
Back
Top Bottom