Upendo kitundu
Member
- Dec 17, 2022
- 73
- 46
Kama wewe ni freelancers au ndo unaanza kazi ya freelancing basi sio mara ya kwanza kusikia makampuni, ikiwemo upwork, fiverr, guru, indeed, au people per hour. Na pengine ulishawahi kuomba kazi kwenye makampuni yote hayo bila mafanikio. Kitu gani naweza kukuambia ni kuwa unaweza kupata clients.
Kuna ambao wame pambana ndani ya miezi mitatu, minne au mitano bila kupata clients. Cha muhimu ni ujue kuwa makampuni haya kwa waliofanikiwa niwale ambao walau wanajulikana na clients na profile zao zinaonesha walishawahi kufanya kazi mbalimbali,ila wewe kwa bahati mbaya au nzuri hata reviews huna au mrejesho wa wateja uliofanya nao kazi.
Kama ni hvyo basi leo kidogo umebahatika. Kuna website moja inaitwa Appytop ambao kwa sasa imeanza na freelancers na waandishi wa vitabu amazon kdp. Kazi ya website hii ni ku boost na kukuongezea au kukusaidia kupata clients, kwa kupata reviews mbalimbali. Kivipi?
Hii platform inatoa reviews kutokana na mpango utakaohitaji kuuchagua. Kama ni trial, premium au life time. Ukishajiunga utakuwa unapata post za kazi kila siku , hizo kazi zina link zitakupeleka moja kwa moja sehemu pa kuapply. Wakati huo wewe umejaza taarifa za profile yako Appytop, utaandika proposal yako na kupatiwa kazi. Kisha utaandikiwa mrejesho au reviews.
Umuhimu mwingine ni kuwa unaweza kuwaonesha clients wako kuwa umezifanya kwa ku create project ambayo itaonekana kwenye profile yako. Kufanikiwa kupitia freelancing platforms inawezekana kutokana na uchaguzi uliouchagua.
Umuhimu mwingine wa Appytop ni kuwa endapo kazi yako ni nzuri zaidi basi unaweza kulipwa kutokana na membership uliyokuwa umeichagua.
Jiwekee malengo ya kukuza profile yako, kazi ni moja dunia nzima wanaigombania wenye wateja wengi wao wanazidi kuwapata, ila kama hujawahi kupata mteja basi utashindwa kupata hata hao wateja.
Hongera, lakini pia best wishes. See you at the top.