Namna ya kupika sambusa

Namna ya kupika sambusa

Dine

Member
Joined
Apr 19, 2012
Posts
57
Reaction score
6
wadau habari za majukumu tafadhali naomba nifahamishwe jinsi ya kupika sambusa
 
Process yake ni ndefu ndugu...duuh maana sijui nianze vipi.
 
Kwanini nitafute ya mtu mwingine, naweza kumpa mahitaji/ingredients lakin vipi nitamweleza jinsi ya kukunja sambusa.:confused2:
hahaha mwambie baada ya ingredients kuwa tayari atengeneze chapati ambazo akizisukuma zinakuwa nyembamba sana kama karatasi kisha akate pembetatu, halafu akaroge pembeni uji wa ngano mzito kama ule wa keki au chapati za maji hii ndio gundi ya kuungia hizo sambuza.

Halafu jinsi ya kufunga ni kama vile anamfunga mtoto nepi. nafikiri hapo atakuelewa.

Sasa tunaomba utupe hizo ingredients maana jinsi ya kufunga nafikiri nimekusaidia au vipi MadameX
 
Last edited by a moderator:
Bora tutengeneze burger ama kebabs. Sambusa uvivu kweli jamani, mhh
 
Kwanini nitafute ya mtu mwingine, naweza kumpa mahitaji/ingredients lakin vipi nitamweleza jinsi ya kukunja sambusa.:confused2:

utamwambia akunje pembe tatu halafu agundishe unga wa ngano uliochanganya na maji..halafu unatupia na picha ya samosa..
 
Labda anaejua akuwekee ujuzi kwenye you tube,au ukasearch you tube km kuna namna ya kuandaa sambusa
 
azam wanauza hizo manda za sambusa wala hakuna haja ya kukanda unatengeneza ingredients za ndani tu(nyama au vegetables) afu unafunga,
 
hahaha mwambie baada ya ingredients kuwa tayari atengeneze chapati ambazo akizisukuma zinakuwa nyembamba sana kama karatasi kisha akate pembetatu, halafu akaroge pembeni uji wa ngano mzito kama ule wa keki au chapati za maji hii ndio gundi ya kuungia hizo sambuza.

Halafu jinsi ya kufunga ni kama vile anamfunga mtoto nepi. nafikiri hapo atakuelewa.

Sasa tunaomba utupe hizo ingredients maana jinsi ya kufunga nafikiri nimekusaidia au vipi MadameX

hizo chapati nyembamba azam ashakutengenezea,
 
Last edited by a moderator:
Mahitaji
Manda ya sambusa ya tayari Kiasi zinavyouzwa
Nyama ya Kusaga au kuku iliyosagwa 1/2 kg
Kitunguu saumu na tangawizi iliyosagwa 3tsp
Pilipili mbichi iliyosagwa 1 tsp
Pilipili manga iliyosagwa1 tsp
Giligilani iliyosawagwa1 tsp
Chumvi kiasi
Vitunguu maji vilivyokatwa (chopped) Kikombe kimoja
Karoti iliyokatwa (grated) nusu kikombe
Kotmiri kiasi
2 Soup cube (optional)
Mafuta ya kukaangia

Gundi
3/4 kikombe unga ngano
1/4 maji
changanya pamoja, ikumbukwe lazima uwe mzito hivi ili igandishe zaidi.

Mataarisho

Pika nyama/kuku ya kusaga kwa kutia chumvi, vitungu saumu, tangawizi, pilipili na ndimu acha ichemke mpaka ikauke. Ongeza maji ya pili ya kutosha kama vikombe 3 ili iive zaidi tia hizo soup cube kama unazo lakini sio lazima. Kabla haija kauka tia pilipili manga na giligilani. Zima moto acha kidogo ipoe tia vitunguu, karoti na kotimiri.

Funga sambusa katika manda kama kawaida kwa kutumia gundi, hakikisha hakuna matundu. Pika sambusa katika mafuta ya moto hadi ziwe golden brown ondoa taya kwa kuliwa.

Nafikiri hapa panatosha, nikipata picture za ukunjaji nitakuwekea, umenipata Dine
 
[h=1]Sambusa Za Nyama[/h](Source: Sambusa Za Nyama | Alhidaaya.com)

Sambusa.jpg

VIPIMO
Manda ya sambusa ya tayari Kiasi zinavyouzwa

(Kiasi ya sambusa 40-50)
Mafuta ya kukaangia Kiasi
Nyama ya Kusaga 3LB (Pounds)
Thomu na tangawizi iliyosagwa 2 Vijiko vha chai
Pilipili mbichi iliyosagwa 1 Kijiko cha chai
Pilipili manga 1 kijiko cha supu
Garam masala 1 kijiko cha supu
Chumvi Kiasi
Vitunguu maji vilivyokatwa
(chopped) 3 Vidogo au 2 Vikubwa
Kotmiri iliyokatwa (chopped) Kiasi

NAMNA YA KUTAYARISHA NA KUPIKA

1. Pika nyama ya kusagwa kwa kutia chumvi, thomu na tangawizi, pilipili na ndimu.
2. Kabla haija kauka tia Garam masala.
3. Zima moto acha kidogo ipoe tia vitunguu na kotimiri.
4. Funga sambusa katika manda kama kawaida.
5. Pika sambusa katika mafuta ya moto hadi ziwe nyekundu na zikiwa tayari kuliwa.
 
Mahitaji Manda ya sambusa ya tayari Kiasi zinavyouzwa Nyama ya Kusaga au kuku iliyosagwa 1/2 kg Kitunguu saumu na tangawizi iliyosagwa 3tsp Pilipili mbichi iliyosagwa 1 tsp Pilipili manga iliyosagwa1 tsp Giligilani iliyosawagwa1 tsp Chumvi kiasi Vitunguu maji vilivyokatwa (chopped) Kikombe kimoja Karoti iliyokatwa (grated) nusu kikombe Kotmiri kiasi 2 Soup cube (optional) Mafuta ya kukaangia Gundi 3/4 kikombe unga ngano 1/4 maji changanya pamoja, ikumbukwe lazima uwe mzito hivi ili igandishe zaidi. Mataarisho Pika nyama/kuku ya kusaga kwa kutia chumvi, vitungu saumu, tangawizi, pilipili na ndimu acha ichemke mpaka ikauke. Ongeza maji ya pili ya kutosha kama vikombe 3 ili iive zaidi tia hizo soup cube kama unazo lakini sio lazima. Kabla haija kauka tia pilipili manga na giligilani. Zima moto acha kidogo ipoe tia vitunguu, karoti na kotimiri. Funga sambusa katika manda kama kawaida kwa kutumia gundi, hakikisha hakuna matundu. Pika sambusa katika mafuta ya moto hadi ziwe golden brown ondoa taya kwa kuliwa. Nafikiri hapa panatosha, nikipata picture za ukunjaji nitakuwekea, umenipata Dine
msaada hapo kwenye kotmiri! hii ni kitu gani? au inajina lingine naweza kuitambua!? naomba kujulishwa
 
Kotmiri, katmiri ni sawa, kidhungu inaitwa corriader leaves au majani ya giligilani. Kwenye upishi huu ni optional
 
Mahitaji
Manda ya sambusa ya tayari Kiasi zinavyouzwa
Nyama ya Kusaga au kuku iliyosagwa 1/2 kg
Kitunguu saumu na tangawizi iliyosagwa 3tsp
Pilipili mbichi iliyosagwa 1 tsp
Pilipili manga iliyosagwa1 tsp
Giligilani iliyosawagwa1 tsp
Chumvi kiasi
Vitunguu maji vilivyokatwa (chopped) Kikombe kimoja
Karoti iliyokatwa (grated) nusu kikombe
Kotmiri kiasi
2 Soup cube (optional)
Mafuta ya kukaangia

Gundi
3/4 kikombe unga ngano
1/4 maji
changanya pamoja, ikumbukwe lazima uwe mzito hivi ili igandishe zaidi.

Mataarisho

Pika nyama/kuku ya kusaga kwa kutia chumvi, vitungu saumu, tangawizi, pilipili na ndimu acha ichemke mpaka ikauke. Ongeza maji ya pili ya kutosha kama vikombe 3 ili iive zaidi tia hizo soup cube kama unazo lakini sio lazima. Kabla haija kauka tia pilipili manga na giligilani. Zima moto acha kidogo ipoe tia vitunguu, karoti na kotimiri.

Funga sambusa katika manda kama kawaida kwa kutumia gundi, hakikisha hakuna matundu. Pika sambusa katika mafuta ya moto hadi ziwe golden brown ondoa taya kwa kuliwa.

Nafikiri hapa panatosha, nikipata picture za ukunjaji nitakuwekea, umenipata Dine

Maelezo MAZURI sana, ila katika kukaanga sambusa, andaa mafuta yaliyochemka kiasi ukiweka sambusa zinaweza kuungua na mafuta yaliyochemka lakini moto wa jiko huwe mdogo.
Unachotakiwa kufanya unaanza kutumbukiza sambusa kwenye mafuta yaliyo katika jiko lenye moto Mkali, ikianza kukauka bila kuwa brown unaipua pembeni, ilafu unazitumbukiza tena kwenye mafuta ambayo yamechemka ila moto usiwe Mkali. Hapo zitaiva vizuri sana na hazitakuwa kaukau, au na mafuta mengi nani.
Kuhusu mchanganyiko unaweza kuchanganya for example, nyama ya kusaga,na viungo vingine ukaviacha kwa mda ili taste ya viungo isikike kwenye nyama....baada ya hapo zikiiva mhhhh...it's yamy!
 
Back
Top Bottom