Mrs Kharusy
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 1,244
- 671
- Thread starter
- #21
Attachments
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks for sharing dear. Na Ramadhan hii unajizolea thawabu mana ndo tunawaandalia mabanwa ivo. Lol
shukran, pishi limetulia. hivi naeza kula na juice, baada ya taraweh kabla ya daku. ngoja ntafte malighafi weekend insha'h nkupe feedback
Simbambili ndio nini Mrs @Kharusy?
Jaan its curry powder simbambili ni jina la brand
LoL!!! Ninayo hapa home jina la simbambili ndio lilinipiga chenga, mie nimezoea kuita curry powder.
Heeee watanenepaje usingizi wetu (hubby) lol
LoL!!! Ninayo hapa home jina la simbambili ndio lilinipiga chenga, mie nimezoea kuita curry powder.
Umeona eeeeh. ..thawab kibao
Tujitahid na ibada pia wapendwa.
Nlikua nakutizama tu unajifanya mkalimani ulipotafsiri pilipili boga lol simbambili ulifkir two lions lol
Nlikua nakutizama tu unajifanya mkalimani ulipotafsiri pilipili boga lol simbambili ulifkir two lions lol
Safi nimependa hilo pishi wknd hii nitajipikilisha asante mtoa mada
Ahsante sana Mrs Kharusy lazima jiko lilie mwaka huu..., hubby yangu watu8 World Cup inaangaliwa home na misosi mitamu ninayojifunza humu bila kumsahau farkhina
Ahsante sana Mrs Kharusy lazima jiko lilie mwaka huu..., hubby yangu watu8 World Cup inaangaliwa home na misosi mitamu ninayojifunza humu bila kumsahau farkhina