Namna ya kupika vijungu

Namna ya kupika vijungu

Attachments

  • 1404138507485.jpg
    1404138507485.jpg
    54.2 KB · Views: 97
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Jaan its curry powder simbambili ni jina la brand

Hahha ndo hio my dear nikienda dukani husema simbambili tu nimemaliza hata siiandafii ni nini..lol mi naaitumia kwa mengi hadi pilau naweka napenda ladha yake
 
LoL!!! Ninayo hapa home jina la simbambili ndio lilinipiga chenga, mie nimezoea kuita curry powder.


Nlikua nakutizama tu unajifanya mkalimani ulipotafsiri pilipili boga lol simbambili ulifkir two lions lol
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahahahaha lol!!!! nilifikiri Simba nne kwi kwi kwi kwi.

Nlikua nakutizama tu unajifanya mkalimani ulipotafsiri pilipili boga lol simbambili ulifkir two lions lol
 
Ahsante sana Mrs Kharusy lazima jiko lilie mwaka huu..., hubby yangu watu8 World Cup inaangaliwa home na misosi mitamu ninayojifunza humu bila kumsahau farkhina
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom