Namna inayoweza kupunguza ajari kwenye barabara zetu.
Barabara zetu nyingi zenye viwango vya lami, Zimewekwa alama za barabarani zinazosaidia kuongoza watumiaji wake wa vyombo vya moto, lakini watumiaji wengi hasa wa madereva wa magari hawazingatii alama hizo.
Kwa mfano ajali nyingi zinazogharimu maisha ya watanzania ambazo ufanya familia nyingi kupoteza wapendwa wao tegemezi au uacha athari ya ulemavu wa kudumu Kwa waanga ni zile zinatokea Kwa magari kugongana head to head yaan yakiwa yanatokea pande mbili tofauti.
Ajali za namna hii hapa nchini zimekuwa nyingi sana na zimekuwa zikigharimu waanga wengi sana, kwanin serikali isije na mpango wa kuboresha barabara zetu ziwe za one way ristriction zisizo ruhusu overtaking ila kwenye maeneo maalum tu yatakayowekwa hii itasaidia kupunguza ajari Kwa kiwango kikubwa japo naweza Inaweza weka usumbufu ikiwa hazitapangwa vizuri.
Kwa mfano yule anayepita upande wa kushoto alazimishwe kupita upande huohuo Kwa kilometers 20 bila overtaking, akifikia hizo kilometers barabara itanuliwe Ili kuwezesha overtaking visibility itakayo mruhusu dereva kuovertake katika hali salama zaidi na pengine kilometers zinaweza ongezwa au punguzwa tokana na mahitaji ya barabara.
Maana uwezo wa kujenga by roads sehemu nyingi za nchini tungejaribu kubuni mfumo huo wa kuwazimisha watumiaji wa vyombo vya moto kutokuovertake kila wanapojisikia kufanya hvo au kila wanapopata upenyo wa kuovertake hii inaweza punguza kiasi kikubwa Cha ajari nchini.

Upvote
0