SoC01 Namna ya kupunguza vitendo vya uudhalilishaji wa watoto Zanzibar

SoC01 Namna ya kupunguza vitendo vya uudhalilishaji wa watoto Zanzibar

Stories of Change - 2021 Competition

Antoine ihai

New Member
Joined
Jul 19, 2021
Posts
1
Reaction score
0
Zanzibar vitendo vya udhalilishaji Kwa wanawake na watoto vinazidi kushamiri Kila siku inayo itwa Leo hivyo basi watoto wa kizanzibari hususani wa wanafunzi wa shule wapo hatarini kupata mimba Kwa hujibu wa takwimu ni wanafunzi wa shule za msingi ndio wanaopatwa na majanga haya

Namna ya kupunguza vitendo hivyo:

Wazazi wa siwaruhusu watoto wao kutumia simu wakiwa katika umri mdogo kwani kutumia simu itapelekea kuongeza Kasi ya vitendo hivyo . Watoto wengi hususani wanafunzi hutumia simu za walezi au wazazi wao kwa kigezo Cha kutumia (calculator) kikokotoa Ili kufanyia ( home work) kazi ya nyuman

Serekali inapaswa kuweka mkazo (msistizo) katika adhabu za makosa ya udhalilishaji kwani kama serekali itakuwa inachukulia kesi kujuana basi vitendo vitazidi kuendelea Kila siku hivyo basi serekali ni lazima iweke Sheria na kanuni mzuri ambazo mzalilishaji hawezi kupata dhamana

Jamii nilazima itoe ushikiana na serekali kwani kama hawakutoa ushirikiano wale watuhimiwa watazidi kutenda vitendo hivyo ili kukwamisha kabisa lazima umoja na ushirikiano uwepo kati ya Jamii na serekali

Walimu wa shule wasisite kutoa sapot yao kwani wawo ndio huwa na wanafunzi Kwa mna mwingi kuliko wazazi wenyewe .

Kupitia njia hizi udhalilishaji Zanzibar utafika kikomo na wanafunzi wakike Sasa watakua huru kutimiza ndoto zao.
 
Upvote 2
Back
Top Bottom